Mara baada ya kuisikia CV ya Marehemu SACP Richard Abwao (RiP) ndio natambua kwa nini ni mtu mwema sana na aliyetendea haki nafasi yake.
Kumbe kupoa kwa hekaheka za Mikoa ya Simiyu,Shinyanga na sasa Tabora kwa kiasi kikubwa yupo Askari Kamanda mwenye weledi na asiyekuwa na kelele nyuma yake...
Hapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi kwamba usalama wao utakuwa wa kimsingi katika sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Richard Abwao, amesema jeshi hilo litaendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.