RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

RPC WA Dodoma bado ana mawazo mgando ya kizamani kuwa kila tatizo litatuliwa kwa kutumia nguvu. Ni kama mtu alieshika nyundo ambapo anaona kila tatizo ni msumari hivyo yeye anawaza kupigilia tu.

Katika kuzungunzia maandamano ya CHADEMA ameonekana akiwa na askari wa kike Wawili nyuma yake waliojipamba kwa silaha lengo likiwa ni kuwatisha BAWACHA. Kwanza ule ni ushamba tu. Dunia ya sasa matatizo hayatatuliwi kwa silaha wala vitisho. Kuna wenzake walitumia vitisho na nguvu matokeo yake wakafa wao wakaacha nyumba silaha na askari waliokuwa wakiwatumia kutesa na kuua wenzao. Kamanda acha vitisho vya kizamani badilika huu ni ulimwengu wa diplomasia siyo vita
Bado Anafikili tupo awamu ya 5 ya kiki na mipasho,
Muda wake wa kusitaafu umefika,Anafikili anaweza kuongezewa muda,
Ni aibu Sana kutoa vitisho kwa wanawake Tena hawana hata kipande Cha fimbo,nani alimwambia kuandamana ni kosa?
 
RPC WA Dodoma bado ana mawazo mgando ya kizamani kuwa kila tatizo litatuliwa kwa kutumia nguvu. Ni kama mtu alieshika nyundo ambapo anaona kila tatizo ni msumari hivyo yeye anawaza kupigilia tu.

Katika kuzungunzia maandamano ya CHADEMA ameonekana akiwa na askari wa kike Wawili nyuma yake waliojipamba kwa silaha lengo likiwa ni kuwatisha BAWACHA. Kwanza ule ni ushamba tu. Dunia ya sasa matatizo hayatatuliwi kwa silaha wala vitisho. Kuna wenzake walitumia vitisho na nguvu matokeo yake wakafa wao wakaacha nyumba silaha na askari waliokuwa wakiwatumia kutesa na kuua wenzao. Kamanda acha vitisho vya kizamani badilika huu ni ulimwengu wa diplomasia siyo vita
Kati ya ma RPC ambao sija wahi kuwa kubali ni huyu mzee.
Sijui ali pataje hii nafasi.
Zaidi ya mabavu hana chochote.
Halafu taarifa zilizopo ksdanganya umri wake. Alitakiwa awe smestaafu miaka minne iliyo pita.
Sasa kama yeye kadanganya umri, ina kuwaje ana simamia sheria?
 
Sijui kwanini hawa watawala wa jeshi la polisi wanaona sifa kupiga watu. Huyu mzee atokomee mbali huko
 
RPC WA Dodoma bado ana mawazo mgando ya kizamani kuwa kila tatizo litatuliwa kwa kutumia nguvu. Ni kama mtu alieshika nyundo ambapo anaona kila tatizo ni msumari hivyo yeye anawaza kupigilia tu.

Katika kuzungunzia maandamano ya CHADEMA ameonekana akiwa na askari wa kike Wawili nyuma yake waliojipamba kwa silaha lengo likiwa ni kuwatisha BAWACHA. Kwanza ule ni ushamba tu. Dunia ya sasa matatizo hayatatuliwi kwa silaha wala vitisho. Kuna wenzake walitumia vitisho na nguvu matokeo yake wakafa wao wakaacha nyumba silaha na askari waliokuwa wakiwatumia kutesa na kuua wenzao. Kamanda acha vitisho vya kizamani badilika huu ni ulimwengu wa diplomasia siyo vita
Kati ya ma RPC ambao sija wahi kuwa kubali ni huyu mzee.
Sijui ali pataje hii nafasi.
Zaidi ya mabavu hana chochote.
Halafu taarifa zilizopo ksdanganya umri wake. Alitakiwa awe smestaafu miaka minne iliyo pita.
Sasa kama yeye kadanganya umri, ina kuwaje ana simamia sheria?

Huyu Muroto si mtu safi sna.
Fuatilieni kwa nini aliondolewa kituo cha Wazo Hill akiwa OCD.
 
Kwanza kadanganya umri. Kama Kayafa angekuwa fair kwenye ile issue ya Vyeti fake huyu tungekuta ameshajifia miaka mingi kwa stress na dhiki.
 
Huyu bwana sasa hivi amejikita zaidi kwenye scrub na mikorogo soon atakuwa Pepsi-mirinda
 
lakini si kawatajia vifungu vya sheria kabisa ???

kosa ni lipi hapo ?
kufuata sheria ?

nyie mlidhani kisa Magufuli kaondoka mumefika Mlima Kitonga mnaseleleka tu na fujo zenu Nchi hii ?

huyu jamaa nampemdaga bure hua hakopeshi

asiefunzwa na ***** atafunzwa na Muroto 🤣🤸‍♀️
 
RPC WA Dodoma bado ana mawazo mgando ya kizamani kuwa kila tatizo litatuliwa kwa kutumia nguvu. Ni kama mtu alieshika nyundo ambapo anaona kila tatizo ni msumari hivyo yeye anawaza kupigilia tu....
Kazi ya silaha ni nini sasa, si wangefuata tu utaratibu mkuu
 
Tusubiri kesho tuone ....Ndugai anafuja pesa zetu timua wale covid 19 wapelekewe majina ukweli yale fake na ni yao CDM wao hawayatambui
Wapeleke majina yapi? haukumbuki kuwa CHADEMA walisema hawahitaji nafasi hizo na hawatambui matokeo yote ya uchaguzi. ninachokishangaa sasa baada ya matamshi hayo wenzao wakatumia hiyo fulsa kuingia Bungeni wakasema wamewafukuza uanachama na kwa sasa hivi hao akina H.Mdee sio wanachama wa CHADEMA tena sasa nashangaa hizi kelele za hawa BAWACHA zinatoka wapi kwa watu ambao sio wanachama wao?
 
Habar zenu ndugu zangu, kama heading inavyojieleza hapo juu. Dada yetu mpendwa na mwana JF mwenzetu Erythrocyte njoo utujulishe mlipofikia. Tanzania moja uhasama hauna nafasi
 
Back
Top Bottom