RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

"A large police force organised and trained along military lines, which may contain military elements"

Wasomi huwa tunajibu kwa facts
May contain military elements=??
Constabulary = non paramilitary (civil authority)
Bado tu unajisifu msomi?
 
Kipolisi NCO Ni RSM Kushuka chini, Inspector ni Commisioned Officer, IGP au Waziri husika anaweza kutoa Kamisheni kwa niaba ya Rais.
View attachment AUXILIARY.pdf

Screenshot_20190910-172519.jpeg
Screenshot_20190910-172831.jpeg
 
Constaburaly meaning that is "non-paramilitary (police) force consisting of police officers called constables. This is the usual definition in the United Kingdom",
Kwamujibu wa wikipedia. Sasa uraia hapo upo wapi!!
Wewe mzee non paramilitary means what??
 
Mimi Naona, ACP ni sawa na luteni usu kwa kigezo kuwa Commissioned officers wa police ni kuanzia ACP Wakati commissioned officers wa tpdf ni kuanzia luteni usu, SACP ni sawa na luteni, ! ! Kwa wanaolewa zaidi wanisaidie
 
Mimi Naona, ACP ni sawa na luteni usu kwa kigezo kuwa Commissioned officers wa police ni kuanzia ACP Wakati commissioned officers wa tpdf ni kuanzia luteni usu, SACP ni sawa na luteni, ! ! Kwa wanaolewa zaidi wanisaidie
Ndo ivyo ivyo Mkuu na nimegundua Jw wanatafuta salute police wanatafuta pesa
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.

Mkuu ongezea kidogo hapo "raia mkakamavu"
 
Na ukiona unapigiwa salute na watu wengi basi ujue hata mshahara wako utakuwa juu
kama mkuu wa wilaya[emoji16][emoji16][emoji16]

unajua dc na cornel wanapishana pesa ngapi kijana,haya mambo unatakiwa utulize sana akili,sio ushabiki.
 
Wewe afisa wa jeshi mwenye elimu ya kidato cha sita naomba tuelewane naposema para means nusu(usu)
Non means ukanusho, kwahiyo 'Non paramilitary' anamaanisha sio jeshi usu bali ni jeshi kamili.Naomba tuelewane!!
Pia fasili imeenda mbali zaidi na kusema "may contain military elements"(kama vile shughuli za ulinzi na usalama)ambazo hata jeshi mnazifanya na ndio maana kuna baadhi ya nchi mfano Kenya, polisi wanalinda mipaka.
May contain military elements=??
Constabulary = non paramilitary (civil authority)
Bado tu unajisifu msomi?
 
Mujibu wa sheria unajua nini ww kaa pembeni uko. Tangu lini ukaona nyota tatu wa polisi anampigia saluti nyota moja wa jwtz?
Huyo nyota tatu wa polisi ni gazetted officer huyo wa jeshi nyota moja ni kamishina officer ndio maana utaona luteni Chiku Galawa akawa mkuu wa mkoa kitu ambacho kwa polisi hakiwezekani mpaka uwe Senior sana kama kina Mambo now
 
Katika tukio la kifo lililotokea majuzi kule Arusha likimuhusisha mwanamke(marehemu)na askari wa JWTZ. Wakati RPC wa Arusha anaongea na waandishi wa habari alitoa kauli ambayo alisema kuwa ktk vyeo vya JWTZ anayemzidi kwa cheo ni Brigedia Jenerali kwenda juu!! Najiuliza ulinganifu huu amezingatia vigezo/muongozo upi?! RPC yeye ni Assistant Commissioner of Police(ACP). Wajuzi wa haya mambo ya vyeo naomba ufafanuzi plz.
Haya ndio madhara ya Rais Magufuli kuyapa vyeo majitu yasiyokuwa na mwelekeo na weledi wowote. Badala ya kutatua tatizo lililo mbele yake anaanza kuchanganya mafaili? Majitu mengine katika nchi hii ni ya ovyo sana.
 
labda vile watu hawajui brigade ni nini hivyo brigedia; mkoa na brigade hapo sasa
 
kama mkuu wa wilaya[emoji16][emoji16][emoji16]

unajua dc na cornel wanapishana pesa ngapi kijana,haya mambo unatakiwa utulize sana akili,sio ushabiki.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom