Unajua maana ya cyber crime????
Maajabu ya dunia ni magufuli kushangaa twiga kupanda ndege!!
Majabu mengi ni magufuli kuogopa kutamka neno ccm oyeeeee !!
Aisee, na ana watu wa chadema humu wanamuunga mkono dhidi ya Dr.Slaa, shikamoo pesa, to chadema naona wao sasa to helll with our moral principles!!
kisu kimegusa mfupa ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaAmtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia Chadema. Asema Slaa ana historia ya uzushi.
Chanzo: Channel 10
Dah yaani kichwa kingekuwa Computer nafikiri baada ya uchaguzi mkuu
nilihitaji kukiformat
Babu Slaa atoke sasa aje kujibu tuhuma za Mbatia na Rostam maana jana alibwabwaja kuwa hajamaliza silaha zote.
Kila mtu umesema? Mbona mimi sijui? Toa ushahidi thibitisha hoja yako
Rostam fisadi la unga kila mtu anajua.
Rostam fisadi la unga kila mtu anajua.
Kuna mafisadi wa TWIGA na pembe za ndovu! ! Kama ni fisadi wa unga na kila mtu anamjua kama kauli yako inavosema, kwa nini hachukuliwi sheria?
Maajabu ya dunia ni magufuli kushangaa twiga kupanda ndege!!
Majabu mengi ni magufuli kuogopa kutamka neno ccm oyeeeee !!
ajabu uvccm kikwete na kinana na ccm nzima wapenzi wa DR Slaa aibu ndio maana filamu haiuzi
Kama UVCCM na UWT mlivyo na Dr. SLAA.
hakuna kurudi nyuma tupiganie mabadiliko Hawa wanaoasi historia itakuja kuwahukumu .tusichoke tuipitishe ukawa Na mgombea Wetu mh.Edward lowassa ni safari ndefu lakini tutafika mungu yuko pamoja nasi.