Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

Kweli njaa na urohoo wa madaraka hatari leo watu wapo upande wa Rostam kila mtu anajua Rostam fisadi ila kwa kuwa amekuwa mfadhili wa CHADEMA leo nae kawa malaika kweli nowadays uokovu ni kazi rahisi pesa kweli mwanaharamu
 
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani

Hata zitto si wa kuamini ni kigeugeu.....alitamani urais, kakwapua chama kamsukumia urais mama wa watu asiyejulikana hata mtaani kwake.
 
Politics is a game of dynamics.

Aliyekuwa adui yako kisiasa jana, ni obviuosily anaweza kuwa the best friend ever leo!

Examples;

Rostam Aziz v/s CHADEMA/UKAWA

Richard Tambwe Hizza v/s CUF/UKAWA

Edward Ngoyai Lowassa v/s Frederick Tluway Sumaye

Zitto Zubeir Kabwe v/s Dr Wilbroad Peter Slaa

.....Na ipo siku inakuja na yaja upesi sana, Mwigulu Lameck Madelu Nchemba atakuwa rafiki wa Chadema!!

Coca Cola Vs Pepsi Cola
 
Dr umewachoma wengi ujue...ahsante kwa kukataa unafiki

Pole sana kwa ufuasi wa "ng'ombe malishoni" tafakari kwa kina ikiwezekana rudi kwenye hii-problem solving skills
 
Ha ha ha. Uchungu kwa Taifa upi jamani? Kama angekuwa na uchungu si angeenda kusaidia wagonjwa badala ya hela kulipia vyombo vya habari na kuanza kukoroma kwa mapovu na hasira!

Una akili sana..
 
Rostam Aziz kwa sasa amepata watetezi kutoka CHADEMA?

Pesa kweli ni hatari kwa mtu mwenye fikra finyu.
 
maajabu ya dunia eti leo bavicha na bawacha wako upande mmoja na ROSTAM aziz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa hiyo kuanzia jana hukuona maajabu uvccm, uwt, wabunge, na mababu wa ccm walivyokuwa upande mmoja na dk. slaa? He hee, kweli mmekengeuka.
 
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani

Umempa kadi?
 
Rostam fisadi la unga kila mtu anajua.

Hapa ndipo mnapotuchanganya zaidi, Polisi wenu, Mahakama zenu na kila muhimili wenu. Baba yenu alisema ana majina ya drug dealers na angewataja lakini mpaka anamaliza muda wake hajafanya hivyo.
 
Sio kwamba yuko na chadema ila kakataa kuambiwa ni mfadhili..uwe unaelewa

Ataelewaje wakati mfumo duni wa elimu (ya kujibu maswali ya mitihani) wa serikali ya ccm imemdumaza kichwa? Amezoea kukariri.
 
Kwani kuna anayetenda kosa na kukubali? Hata jambazi aliyekamatwa kwa mauaji na amekutwa na silaha eneo la tukio bado atakataa

Kama mnavyojificha nyuma ya tuhuma za ufisadi wa EDO wakati mmejaa malumbesa za kashfa za kiuchumi katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom