Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Sio kwamba yuko na chadema ila kakataa kuambiwa ni mfadhili..uwe unaelewa
 
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani

Na kuongeza tu leo wanachadema wote wako nyuma Ya Rostam kumshambulia Slaa,
 
Rostam Aziz, there's absolving possibility within Ukawa. Contemplate what'll be your fate while you sit down without doing anything about yourself.

Follow suit of maamuzi magumu in order to salvage your safety and security!
 
Yaani UKAWA kampeni team ya watu wawili hadharani wengine wako laboratory wanakuja na mbinu, wao wako 32 lakini wanahaha kila wakati na mission inashindwa. Lowassa na UKAWA ni mpango wa Allah.
 
Kama Slaa anaitwa msaliti, basi ndani ya CHADEMA hakuna asiye msaliti

Sasa Hivi ukitaka kugombana na Bavicha waseme Rostam, Lowassa, Sumaye, Masha, Guninita, Mgeja, hao ndo usajili wa Mbowe mwaka huu. Makongoro Mahanga ndo anawakilisha wabunge 50, Mgana Msindai anawakilisha Wenyeviti 22.
 
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Aisee, na ana watu wa chadema humu wanamuunga mkono dhidi ya Dr.Slaa, shikamoo pesa, to chadema naona wao sasa to helll with our moral principles!!
 
Dah! yan mwaka huu, lakin je air time ya jana ni kweli amefadhiliwa na ccm au yey mwenyew kwa uchungu alionao kwa taifa?

Ha ha ha. Uchungu kwa Taifa upi jamani? Kama angekuwa na uchungu si angeenda kusaidia wagonjwa badala ya hela kulipia vyombo vya habari na kuanza kukoroma kwa mapovu na hasira!
 
Politics is a game of dynamics.

Aliyekuwa adui yako kisiasa jana, ni obviuosily anaweza kuwa the best friend ever leo!

Examples;

Rostam Aziz v/s CHADEMA/UKAWA

Richard Tambwe Hizza v/s CUF/UKAWA

Edward Ngoyai Lowassa v/s Frederick Tluway Sumaye

Zitto Zubeir Kabwe v/s Dr Wilbroad Peter Slaa

.....Na ipo siku inakuja na yaja upesi sana, Mwigulu Lameck Madelu Nchemba atakuwa rafiki wa Chadema!!
 
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
katika sentensi hii hapa chini kuna neno linaloonyesha Rostam Yupo CHADEMA? Jitahidi kufikiria kabla ya kuandika unajiaibisha.

Amtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia Chadema. Asema Slaa ana historia ya uzushi.

Chanzo: Channel 10
 
Uzushi wa Slaa unaweza kutia nchi kwenye hatari

si mlikuwa mnamsapoti nyinyi kipindi cha 2011 kuleta fujo ili nchi isitawalike, mnaleta fuja na maandamano yasiyokuwa na kichwa wala miguu, hamkujua mwenzenu alikuwa na uchungu wa kushindwa, sie tulikuwa tunawaangalia tu
 
Back
Top Bottom