Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

kukata mzizi wa fitina wanahabari ; andaa mdahalo

slaa vs washutumiwa wa richmond


tupo radhi watanzania kuchangia m-pesa msg ili urushwe
; kana waandishi mkishindwa ; waandishi be creative
 
Hakuna lolote wewe na mwenzio hamuitakii mema nchi hii.kenya hawataki hata kuku ona wewe..pumbavu
 
Marafiki siku zote hawa achani,wanakwenda sambamba kuhakikisha wanalo litaka linafanikiwa, lakini ukweli ni kwamba slaa ameongea ukweli ila binadamu hatukosi la kujitetea.
 
Babu Slaa atoke sasa aje kujibu tuhuma za Mbatia na Rostam maana jana alibwabwaja kuwa hajamaliza silaha zote.

wanatakiwa wakanushe... na baadae watoe ushahidi wa hayo wanayoyakanusha..... vinginevyo acha tuzidi kumuamini DR SLAA pekee
 
unaongelea vichochoroni sema usikike wakumalizie kabisa wewe na beste ako
 
MBONA HAENDI MAHAKAMANI KUMSHITAKI MHE. SLAA KAMA KWELI NI MZUSHI????

BILA KWENDA MAHAKAMANI YEYE NDIO MZUSHI NA AMETULETEA SHIDA SANA KWENYE HII NCHI. MUNGU ANAJIBU VILIO VYA WANYONGE WA NCHI HII. Bado kidogo kikombe cha hukumu kitajaa.

Queen Esther

Amtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia CHADEMA. Asema Slaa ana historia ya uzushi.

Chanzo: Channel 10
 
Amtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia CHADEMA. Asema Slaa ana historia ya uzushi.

Chanzo: Channel 10

hebu tuambiane kiutu uzima, kati ya Rostam na Dr Slaa nani anaaminika??
 
Rostam .ndiyo anaaminika nimtu Moore wara hana shida kukaaa anamtajataja mtu
 
Dr slaa hana kashfa kama Rostam Azz wewe!! endeleen kuwapokea na kuwasafisha ila magufuri akiingia ikulu mahakama ya mafisad itawashughulikia..!!!
rostam hajafikishwa katika mahakama tetote
 
Wote mnaompinga Dr Slaa ni vibaka watupu hamna lolote na huyu kibaka anayegombea Uraisi hataupata habari ndio hiyo. Nchi hawezi kuachiwa vibaka.
 
MBONA HAENDI MAHAKAMANI KUMSHITAKI MHE. SLAA KAMA KWELI NI MZUSHI????

BILA KWENDA MAHAKAMANI YEYE NDIO MZUSHI NA AMETULETEA SHIDA SANA KWENYE HII NCHI. MUNGU ANAJIBU VILIO VYA WANYONGE WA NCHI HII. Bado kidogo kikombe cha hukumu kitajaa.

Queen Esther

Huyu mbulushi hatakiwi hata kuongea. Kahamisha msli nje sasa anataka kutuletea machafuko.
 
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani

Watu huungana kwenye common good vinginevyo kila binadamu atakuwa adui yako!

Cc: Uhurubado, Belo
 
Back
Top Bottom