Aisee, na ana watu wa chadema humu wanamuunga mkono dhidi ya Dr.Slaa, shikamoo pesa, to chadema naona wao sasa to helll with our moral principles!!
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Kweli njaa na urohoo wa madaraka hatari leo watu wapo upande wa Rostam kila mtu anajua Rostam fisadi ila kwa kuwa amekuwa mfadhili wa CHADEMA leo nae kawa malaika kweli nowadays uokovu ni kazi rahisi pesa kweli mwanaharamu
Rostam Aziz kwa sasa amepata watetezi kutoka CHADEMA?
Pesa kweli ni hatari kwa mtu mwenye fikra finyu.
Kama UVCCM na UWT mlivyo na Dr. SLAA.
Dah! yan mwaka huu, lakin je air time ya jana ni kweli amefadhiliwa na ccm au yey mwenyew kwa uchungu alionao kwa taifa?
Dr slaa hana kashfa kama Rostam Azz wewe!! endeleen kuwapokea na kuwasafisha ila magufuri akiingia ikulu mahakama ya mafisad itawashughulikia..!!!
Rostam hayuko na chadema yeye amefanya kujibu tuhuma alizopewa na slaa,tofautisha mambo
huyu babu slaa kapoteza mvuto.
Babu Slaa atoke sasa aje kujibu tuhuma za Mbatia na Rostam maana jana alibwabwaja kuwa hajamaliza silaha zote.
Aya sasa
Naamini kabisa huamini unachoongea
Dr slaa hana kashfa kama Rostam Azz wewe!! endeleen kuwapokea na kuwasafisha ila magufuri akiingia ikulu mahakama ya mafisad itawashughulikia..!!!
Subir oct 25!Mtajibeba!
Kwa hiyo CHADEMA imepata mbeleko ya Rostam Aziz.kama ccm ilivyopata mbeleko ya Slaa.
Na kuongeza tu leo wanachadema wote wako nyuma Ya Rostam kumshambulia Slaa,