Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Thubutu huo ulikuwa mkwara na atakuwa anaogopa Lostam kumpeleka mahakanani athibitishe.Babu Slaa atoke sasa aje kujibu tuhuma za Mbatia na Rostam maana jana alibwabwaja kuwa hajamaliza silaha zote.
Maajabu ya dunia ni magufuli kushangaa twiga kupanda ndege!!maajabu ya dunia eti leo bavicha na bawacha wako upande mmoja na ROSTAM aziz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Rostam fisadi la unga kila mtu anajua.
Aisee, na ana watu wa chadema humu wanamuunga mkono dhidi ya Dr.Slaa, shikamoo pesa, to chadema naona wao sasa to helll with our moral principles!!
Nakuomba chonde chonde Mtukufu Rais Mtarajiwa, Mh. Lowasa Edward Ngoyani, endelea kuwachoma hao ma-ccm, kwao umekuwa mwiba mkali. Wewe endelea na kampeni yako mkisaidiana na Sumaye, mpaka kieleweke.
Ninyi ndio mmekuwa ukombozi wa kweli kwa Mtanzania. Kura ni zenu na ushindi ni wenu. Mwaka huu Ikulu ipate mpsngsji mwingine
Amtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia Chadema. Asema Slaa ana historia ya uzushi.
Chanzo: Channel 10
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
Chadema ya Lowassa ni watu wabaya sana, kweli???
leo mko against Dr.Slaa kwa huyu jamaa??
Huu ni USALITI uliotukuka.
Amtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia Chadema. Asema Slaa ana historia ya uzushi.
Chanzo: Channel 10
mkuu Hapa. Ndipo ccm ilipotufikisha ndo maana tunataka kuing'oa.Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
By the way, kulingana na kauli aliyokwishaitoa Dr Slaa miezi michache iliyopita ni kwamba: Magufuli anastahili kuwa gerezani kwa tuhuma ya kuuza nyumba za serikali kifisadi . Wakati huo huo wiki hii amesema: Lowasa naye ni mchafu kwenye kashfa ya Richmond, hafai kuwa rais!Dr umewachoma wengi ujue...ahsante kwa kukataa unafiki
yuko sahihi hasaidii chadema anasaidia CCM BAmtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia Chadema. Asema Slaa ana historia ya uzushi.
Chanzo: Channel 10
Unajua maana ya cyber crime????