Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
rostam ni tumaini jipya ndani ya chadema kwa sasa kwa maoni yako????
Hawa Chadema waliobaki sasa ni vituko kabisa! Leo wako bize kumwona Rostam mtaji? Wakati Rostam ndo gamba kuu na CCM walipata taabu kumkalisha pembeni. Leo hii anapewa hifadhi na Chadema? Huyu mbulushi mwenye kashfa nyingi? Ama kweli wafuasi wa Chadema wana limited intellectual ability!