Slow slow tangu alivyodhangilia LM kukatwa jina na msajili nimegundua na yeye ni inside project...Wapo ku raise adrenaline za watu kumbe ni wale wale in different facests...Inamaana hii inahakikishia mtu kutokuwa na risk hata 5%We jamaa utakuwa ndiye Hamphrey Polepole sio bure,kwa nondo hizi mtu wa kawaida hawezi kuzijua. lakini unatoa hizi nondo kwa faida ya nani na kwa nini?
Kifo cha mwendazake ilikuwa uzembe wa maofisa wetu wa ikulu isee yaani mnaona kabisa watu wanapuputika sababu ya corona then mnamwachia mkuu afanye dhiara zza hadharani kizembe vile na ilhali ni mgonjwa wa moyo.
Ule uzembe ulipaswa watu wa idara washitakiwe ili ife funzo.
Huku kijijini kwetu wakati tunasoma tulikuwa hawataki nadharia bali andika kwa case study husika.Chief sina lakujifunza kwako katika hili.
Nina uhakika unajua nadharia tu, na mimi najua nadharia + ground side ya business husika nikiintergrate tutabishana tu.
Ninajua cost analysis yote ya hiyo biashara, na ninajua financial modeling ya mining business, oil and gas, power generation na Engineering side zake , sio nadharia naongelea vitendo baharini na ardhini.
sasa ukija na finance + accountant degree sijui ya IFM na UDSM sijui Mzumbe na hauna exposure yeyote kwenye hivyo viwanja tutabishana tu hapa mpaka asubuhi.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
Una bla bla nyingi sana,mkuu.Put it this way, swala lote nimelifikiria kibiashara ndio msingi wa kuona umeandika ujinga na akili bandia ilipo,
Unataka nikuonyeshe ujinga wako ulipo?
I can do that, if you wish.
Kutoka mitaa ya Mwamala mwakarundi karibu na mitaa ya Isagenhe na Bukene - Itobo kuelekea Nzega kwa akina Kigwangala mbunge msitahafu 🤣🤣👏 🤷🏿♂️ !Rosti
Tamu
Laazizi
Kuna kinda fulani nalo linaanza kuwa kama RA.
SAMEER KARIM ALIBHAI mjukuu wa marehemu mwenye shoppaaz.
Put an eye on this kid.
Hana madhara tena, mission completed..Ataachiwa atazunguka zunguka kutujaza adrenaline, mataifa yatajidai kuwa wako concerned kumbe wao ndiyo ma engineer then back to the same style of life like Jana Leo na kesho....Tanzania njema is a must project, I believe in Jesus Christ of Nazareth!Kwa hiyo Lissu ataachiwa kwa Maelekezo ya Rostam?
Asante mkuu
Yan kama Raymond Reddington vile wa Blacklist.
Ni mambo ya kawaida tu haya wala hayaepukiki maadam sera ya Capitalism ni suala mtambuka. Ujanja kuwahi na kupata. Wajanja walishawahi hakuna namna acha watupige tuuuuu mpaka akili zitukae sawa
Ewaaah ! 🤣Watz hawahitaji mabadiliko ila wanahitaji story za mabadiliko ili wawe wanajadili kwenye social midia.
Tatizo sio RA, bali serikali ya CCM chini ya uongozi mbovu sana wa Hangaya.
RA ni mfanya biashara, (kununua rahisi iwezekanavyo na kuuza ghali iwezekanavyo).
Kama serikali ya huyu chura kiziwi imeshindwa kumpa bei sahihi inayoendana na mali husika yeye ana kosa gani!
Rostam hivi,Rostam vile ni dalili ya uvivu pambana na wewe upateRichmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Ipo siku LISSU atakuja waomba msamaha familia ya JPM ya kuwashutumu kwa lile shambulioHili tukio lilipangwa kitaalamu sn siku wakiamua kufanya uchunguzi huru naamini Magufuli hayumo !
Huyu Jamaa ni mmoja wao anafanya propaganda...Ana tu pre empty Ili tukose hata matumaini ya kuwaza nchi yetu njemahii ndiyo ulisema nchi itapasuka? Mbona kila kitu kiko wazi siku nyingi. Nilidhani tutaamka na traore kumbe ni hzi story za miaka yote
Mjibie hoja; anazoweka.Una bla bla nyingi sana,mkuu.
Onyesha kwa vitendo mahala ambapo Nangu Nyau ameandika ujinga. Watu wanafatilia.
Vinginevyo unafanya ad hominem fallacy...unamshambulia mtoa hoja badala ya kuishambulia hoja yake.
Kukataa wahuni No Reform No ElectionAkimaliza kushusha nondo utachukua hatua zipi kukabiliana na situesheni hiyo ?