Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

Ni kweli kabisa Channel 10 wanampamba sana Lowassa na reporter siku zote ni mmoja ambae anaonekana kapewa jukumu la kuzunguka na Lowassa nchi nzima hata kule ambako Channel 10 ina waandishi(reporters) wengine!!

Ni mwanamke mmoja kwani sauti ni ile ile kila siku Lowassa awe Moshi,Mpanda n.k!
Anaitwa Jamillah Omar
 
Lowassa ndiye anayekubalika ndio maana wee shida mtandaoni halafu tukutane oktoba
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia namna Channel Ten inavyotumika kumpamba Lowassa kwenye taarifa zake za habari, na kufanikiwa kuunganisha dots kama ifuatavyo:

Siku zote Channel Ten wamekuwa wakiripoti taarifa za Lowassa kwa ustadi wa hali ya juu sana na taarifa zake hupewa air time ya kutosha tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM.

Huu ni mpango maalumu wa Rostam Aziz (mmiliki wa Channel Ten) kumpigia debe fisadi mwenzake ili pindi akifanikiwa kuingia ikulu ya magogoni washirikiane naye kuiba rasilimali za taifa.

Mtakumbuka kwamba Lowassa, Chenge na Rostam ni mapacha watatu (utatu wa KIFISADI) ndani ya CCM. Hawa watu hawakukutana barabarani. Wamekuwa wakishirikiana katika shughuli zao za kulihujumu Taifa kwa muda mrefu sasa.

Mtakumbuka hata Nape Nnauye alijaribu kuwavua magamba akawashindwa. Endapo EL atafanikiwa kuingia ikulu mwaka huu, basi elewa kwamba ikulu yetu itageuka kuwa pango la wanyang'anyi. Tuwe makini na mafisadi hawa na kamwe tusiwaruhusu kuisogelea ikulu yetu.

:israel:
 
Lowassa kwa sasa anayefaa kuwa rais wa Tanzania kutokana nakuwa na maamuzi ya kuweza kuitoa Tanzania hapa ilipo na ikasonga mbelekimaendeleo.

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia namna Channel Ten inavyotumika kumpamba Lowassa kwenye taarifa zake za habari, na kufanikiwa kuunganisha dots kama ifuatavyo:

Siku zote Channel Ten wamekuwa wakiripoti taarifa za Lowassa kwa ustadi wa hali ya juu sana na taarifa zake hupewa air time ya kutosha tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM.

Huu ni mpango maalumu wa Rostam Aziz (mmiliki wa Channel Ten) kumpigia debe fisadi mwenzake ili pindi akifanikiwa kuingia ikulu ya magogoni washirikiane naye kuiba rasilimali za taifa.

Mtakumbuka kwamba Lowassa, Chenge na Rostam ni mapacha watatu (utatu wa KIFISADI) ndani ya CCM. Hawa watu hawakukutana barabarani. Wamekuwa wakishirikiana katika shughuli zao za kulihujumu Taifa kwa muda mrefu sasa.

Mtakumbuka hata Nape Nnauye alijaribu kuwavua magamba akawashindwa. Endapo EL atafanikiwa kuingia ikulu mwaka huu, basi elewa kwamba ikulu yetu itageuka kuwa pango la wanyang'anyi. Tuwe makini na mafisadi hawa na kamwe tusiwaruhusu kuisogelea ikulu yetu.

:israel:

Huyo aliyeko magogoni unamuweka kundi gani?
 
ikulu ni mahali patakatifu. ukiona fisadi anatimka mbio kuelekea ikulu, mwogope kama UKIMWI. kamwe hatuwezi kuwaruhusu mafisadi wainajisi ikulu yetu.

Msichanganye watu nyie ccm!!!
Mwaka 2005 Mafisadi yaliingia Ikulu Rasmi na mmoja bado yupo pale ndani anapeta tu.
Mkuu Wa Wao akiwa J Kikwete Msaidisi alikuwa Lowasa Mwezeshaji akiwa Rostam Wapambe wao ni Karamagi, Zakia Meghi, Karamagi Mama mmoja Alifia ajalin Iringa, Kinana, Mzee Makamba Na Wengi walioitwa Mawazir Mizigo na matokeo take mpaka Leo Tz in kilio
 
Hawa jinsi ya kuwadhibiti ni kutazama movement ya pesa ya wafanya maamuzi katika ngazi mbalimbali, wilayani,mikoani na kwenye vikao vya chama kwa muda huu.

nina imani matokeo ya kutafuta movement zao MPESA,TigoPESA, Airtel Money, bank acounts,zitaonesha jinsi gani kuna watu wachache kazi yao ni kusambaza fedha.

I can see Rostam controlled puppets distributing money like crazies..., hii kazi TISS kama wangekuwa weledi wa kazi zao washingeishindwa ku-monitor accounts za hawa wajumbe wa CCM na ku-connect the dots.
 
wewe ni ndoooooorobo! unajua kashfa ya UFISADI iliyopelekea rostam kuutema ubunge na kukimbilia nchini kwao India kabla Nape Nnauye hajamvua gamba au unakuja kuweweseka hapa kama kuku anayeta kiota cha kutagia?
Ndugu nilikuwa nakuamini ila imani imenitoka. Hakunadhambi kubwa kama kutoa taarifa za uongo. Rostam si Mhindi
 
Ndugu nilikuwa nakuamini ila imani imenitoka. Hakunadhambi kubwa kama kutoa taarifa za uongo. Rostam si Mhindi

mh! you can't be serious. kwani rostam mdengereko?
 
Angalieni hata clip za video zinazozunguka mitandaoni ni za channel ten na wanazitoa watu wa ndani
 
Amejitapa mda mrefu kwamba iwe isiwe yeye ndio Rais...ndio maana ya maajabu yote haya anayoyafanya sasahivi, ikiwa ni pamoja na kutafuta wadhamini tu yeye kageuza kipindi cha kampen. Tutaona mengi mwaka huu kisa tu mafisadi wanataka kutawala waiangamize nchi yetu

Rafiki, nchi yenu iangamie mara ngapi? Hivi ilivyo bado una matumaini bado haijaangamia?
 
wewe ni ndoooooorobo! unajua kashfa ya UFISADI iliyopelekea rostam kuutema ubunge na kukimbilia nchini kwao India kabla Nape Nnauye hajamvua gamba au unakuja kuweweseka hapa kama kuku anayeta kiota cha kutagia?

Wengine siyo kama hawajui bahasha za elfu 20 zinawaziba masikio
 
Last edited by a moderator:
Msulibasi

watanzania tumejaa ubinga na upopompo..kuna watu wananwaka wa kimi wanavuna almasi wanaldka kwdnye hold wakifika dar wanspewa ulinzi wa ffu wanaweka kwenye ndege nyingine .na kpodi awajui

ikoje

embi tukue tumwache mwenye.nguvu ashike.nchi.tuachane na upopompo
 
Woooote mnaomponda Lowassa mjue ndiyo habari ya vijijini mjini! Watu wanampenda na kumkubali. Subirini mechi hii uko safi. Najua wengine maumivu na uongo Wa mawazo msingi lakini tunasonga mbele!

Bora tugawane fito mwaka huu nchi ipate ukombozi wa kweli!
 
Lowassa ndiye anayekubalika ndio maana wee shida mtandaoni halafu tukutane oktoba

ni kweli lowassa ndiye anayekubalika miongoni mwa mafisai lakini elewa kwamba ccm walishaweka wazi kwamba majina ya mafisadi wote waliotia nia yatakatwa. ni bora uanze kujiandaa kisaikolojia kuipokea serikali ya UKAWA kwa mikono miwili. mafisadi wa CCM hawana nafasi ya kuendelea kutafuna rasilimali za taifa tena.
 
Last edited by a moderator:
Unajua Iran wewe ni tofauti na India?

kwani rostam ni raia wa india au iran mkuu? hebu niweke sawa mkuu maana nasikia alipovua ubunge alienda nyumbani kwao mumbai kujipumzisha na kutuliza akili.

hivi unajua yule muhindi aitwaye zainudin adamjee kwamba sasa hv ni meya huko kwao na alishawahi kuwa mbunge wa ccm kupitia jimbo la kawe?
 
Back
Top Bottom