Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

Laki si pesa na Lizaboni mpaka sasa wanatangatanga hawajui wamfuate yupi ndani ya ccm. Wewe fuatilia maoni yao hapa JF

mwaka huu lazima hawa mafisi wagawanyike kwa manufaa ya ustawi wa watanzania wanaoteswa na UFISADI wa CCM.
 
Last edited by a moderator:
wewe ni ndoooooorobo! unajua kashfa ya UFISADI iliyopelekea rostam kuutema ubunge na kukimbilia nchini kwao India kabla Nape Nnauye hajamvua gamba au unakuja kuweweseka hapa kama kuku anayeta kiota cha kutagia?

Heeeee!yaani rostam kwao ni india?salaleeeee
 
Last edited by a moderator:
tpaul
kama wewe ni mtoto wa kiume bac punguza wivu wa kike.na unapotaka kudanganya angalia na unao wadanganya.Yaani Rostam ni raia wa India?au umekosea kuandika
 
tpaul

Ulitaka ampge tafu membe au ni makongoro. ...rais wetu ni Lowasa kuptia chama chochote
 
Last edited by a moderator:
tpaul

Wewe joka la mdmu ulitaka chanel ten wa mpgie debe baba yako ....chanel ten ni mali bnafs kama unataka air time kalipie matangazo utangazwena mgombea wako wa watu 20
 
Last edited by a moderator:
tpaul


Marekebisho channel ten haimilikiwi na rostam aziz ni mzungu ndio mmiliki wa channel 10. Labda kama wamekula kanadaras ya kumpigia debe lowassa na kuhusu mtangazaji ni jamila ommar wa arusha ndio yupo kwenye msafara wa el
 
Last edited by a moderator:
Mara mje na mada itv inampendelea lowasa, mmeona haitoshi mmehamia channel10, duh!!! Basi lowasa ana hatareee media zote zinampendelea yeye???? Na mtatanga tanga sana.
 
Mkuu kuwa na amani, fisadi haingii ikulu
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia namna Channel Ten inavyotumika kumpamba Lowassa kwenye taarifa zake za habari, na kufanikiwa kuunganisha dots kama ifuatavyo:

Siku zote Channel Ten wamekuwa wakiripoti taarifa za Lowassa kwa ustadi wa hali ya juu sana na taarifa zake hupewa air time ya kutosha tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM.

Huu ni mpango maalumu wa Rostam Aziz (mmiliki wa Channel Ten) kumpigia debe




HAO walishashiba tayari waibe ili iweje asee?.
sasa upeleke ikulu watu kama kina msigwa,hadi wakatengeze vitambi,ndo walete maendeleo saa ngapi?
 
tpaul
kama wewe ni mtoto wa kiume bac punguza wivu wa kike.na unapotaka kudanganya angalia na unao wadanganya.Yaani Rostam ni raia wa India?au umekosea kuandika

mkuu sio tatizo lake,ni hizi kuku wanazokula huko kwenye fast food,sasa zile kuku zimekuzwa na machemikali ambayo vijana wa kileo wakibugia,zinasababisha chemical imbalance,na kuathiri homone za kiume kuwa za kike,ndoo maana vijana wanakuwa na tabia za kikekike,kuvaa mtepesho,maneno ya vijembe,kulalamikalalamika,kulialia,etc.
 
tpaul

Mkuu leo ndio unanifumbua macho,kumbe channel ten ni Mali ya rosttam?
 
Last edited by a moderator:
yaani kwa lugha nyingine ni kwamba wewe umeridhika na huo ufukara wako wa kutisha , umetia aibu sana !

Watanzania mnashangaza sana... As much as i want lowasa and ccm to perish i wont entertain this stupidity ya watu kuja na malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu... Huyo rostam kanunua lini ch ten na hata kama kainunua mtoa mada analazimishwa kuiangalia? Huu ni upuuzi kuandika humu hakutamfanya lowasa asiende ikulu.. Kama unataka lowasa asiende ikulu kajiandikishe na hamasisha wengine wajiandikishe bila kusahau juwapa elimu ya uraia ili wasidanganyike na khanga na vitenge.. Hizi lowasa kafanya hichi kafanya kile bila ushahidi ni upuuzi usiovumilika na mara zote walalamikaji ni hao hao makuwadi wa wapuuzi wale wale ndani ya ccm!
 
Marekebisho channel ten haimilikiwi na rostam aziz ni mzungu ndio mmiliki wa channel 10. Labda kama wamekula kanadaras ya kumpigia debe lowassa na kuhusu mtangazaji ni jamila ommar wa arusha ndio yupo kwenye msafara wa el

Mkuu, kumbe huna update!!?? Mmiliki wa mwanzo wa Channel TEN, kweli alikuwa mzungu, lakini mzungu huyo alimuuzia mali Rostam tena siyo jana wala juzi, miaka yapata mitano sasa.
 
Jaman naona video ya matangazo ya mgombea mwingine na lowasa halaf tuangalie dakika mm siamin hili naona ni uzushi tuu na chuki Ndio ile ya Malima kusema mengi anajipendelea kwenye taarifa zake yale yalikuwa madai ya kijinga kabisa

Sitta akatumia milion 100,kusuluhisha ugomvi,na baadae,Malima akapewa unaibu waziri
 
tpaul

Uwa nacheka sana kuona UKAWA ndiyo wanafanya kazi ya kuwachagulia mgombea CCM.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom