Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

mkuu, sio kwenye matangazo...ni kwenye taarifa za habari za Channel Ten...Lowassa hupambwa zaidi ya wenzake na hupewa air time mara 3 zaidi ya watangaza nia wengine. umeona eeh?
ivi mkuu wimbo wa Diamond na wa msanii anayeitwa mkude wa huko matombo morogoro zinaweza kupata airtime sawa kwn tv?
 
Laki si pesa na Lizaboni mpaka sasa wanatangatanga hawajui wamfuate yupi ndani ya ccm. Wewe fuatilia maoni yao hapa JF

Ndio maana kuna msemo usemao " Kuna watu kama viatu" ndio hao uliowataja. Waweza kuwapa majina yote kama wale wazururao kambi ya fisi usiku.
 
Watanzania mnashangaza sana... As much as i want lowasa and ccm to perish i wont entertain this stupidity ya watu kuja na malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu... Huyo rostam kanunua lini ch ten na hata kama kainunua mtoa mada analazimishwa kuiangalia? Huu ni upuuzi kuandika humu hakutamfanya lowasa asiende ikulu.. Kama unataka lowasa asiende ikulu kajiandikishe na hamasisha wengine wajiandikishe bila kusahau juwapa elimu ya uraia ili wasidanganyike na khanga na vitenge.. Hizi lowasa kafanya hichi kafanya kile bila ushahidi ni upuuzi usiovumilika na mara zote walalamikaji ni hao hao makuwadi wa wapuuzi wale wale ndani ya ccm!
hapo mkuu umetisha kama jina lako..
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia namna Channel Ten inavyotumika kumpamba Lowassa kwenye taarifa zake za habari, na kufanikiwa kuunganisha dots kama ifuatavyo:

Siku zote Channel Ten wamekuwa wakiripoti taarifa za Lowassa kwa ustadi wa hali ya juu sana na taarifa zake hupewa air time ya kutosha tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM.

Huu ni mpango maalumu wa Rostam Aziz (mmiliki wa Channel Ten) kumpigia debe fisadi mwenzake ili pindi akifanikiwa kuingia ikulu ya magogoni washirikiane naye kuiba rasilimali za taifa.

Mtakumbuka kwamba Lowassa, Chenge na Rostam ni mapacha watatu (utatu wa KIFISADI) ndani ya CCM. Hawa watu hawakukutana barabarani. Wamekuwa wakishirikiana katika shughuli zao za kulihujumu Taifa kwa muda mrefu sasa.

Mtakumbuka hata Nape Nnauye alijaribu kuwavua magamba akawashindwa. Endapo EL atafanikiwa kuingia ikulu mwaka huu, basi elewa kwamba ikulu yetu itageuka kuwa pango la wanyang'anyi. Tuwe makini na mafisadi hawa na kamwe tusiwaruhusu kuisogelea ikulu yetu.

Fadhila hulipwa na hata kama hautalipa kwa fedha utalipa tu.
Ni mmoja wa watu ambao Lowasa anawawaza sana kama ni sehemu ya watu wake wanaompa nguvu.


lowasa ni tajiri.png
 

Attachments

  • ikulu sio ya Maskini.png
    ikulu sio ya Maskini.png
    202.6 KB · Views: 218
Yule dada ni yule ripota wao wa Arusha ndo nimemsikia mara zote akimlipotia, hawa wamehongwa tu kama wachumia tumbo wengine ijapokuwa hawatafanikiwa

yaani lowasa amechoka akili hana hata uwezo wa kuwashawishi hata bodaboda ili wampe kampani mpaka awape hera na posho ya mafuta kweli? tafsiri yake watu hakuna kipya wanachokitaka kwa lowasa maana wangeamini anacho wangemfata wenyewe, futa kansa hiyo ndani ya chama.
 
Yule dada ni yule ripota wao wa Arusha ndo nimemsikia mara zote akimlipotia, hawa wamehongwa tu kama wachumia tumbo wengine ijapokuwa hawatafanikiwa

yaani lowasa amechoka akili hana hata uwezo wa kuwashawishi hata bodaboda ili wampe kampani mpaka awape hera na posho ya mafuta kweli? tafsiri yake watu hakuna kipya wanachokitaka kwa lowasa maana wangeamini anacho wangemfata wenyewe, futa kansa hiyo ndani ya chama.
 
wezi tu hawatuwezi mwaka huu ccm makini ndo mpango
 
tpaul

sijaona hoja hapo zaidi ya hisia zilizobeba chuki dhidi ya watu. kajipange kwa kweli kwani nimejikuta naona aibu hata kukwambia kuwa unazidi kuchanganyikiwa kadiri siku zinavyozidi kwenda
 
Last edited by a moderator:
JK, namuogopa sana Lowassa maana anaweza kulipiza kisasi kwa team yangu ya Richmond na Escrow.
 
Kampeni za Urais hazijaanza magwanda mnahaha!

Hiyo ni bashraf tu, mziki kamili bado.
 
tpaul

Yaani hapo umesema kweli. Kumbe Channel 10 ni ya Rostam Aziz. Mimi nilkuwa najua tu magazeti yake yale. Hata mimi nimefuatilia Channel, naona kama wanafanya tu promotion kwa mzee wa UFISADI. Ile sio bahati mbaya, ni mkakati kabisa wa kuonesha ni jinsi gani jamaa alivyo na nguvu na anavyokubalika
 
Last edited by a moderator:
Nendeni na nyinyi mkapambwe kwenye TV station nyingine
 
tpaul
kama wewe ni mtoto wa kiume bac punguza wivu wa kike.na unapotaka kudanganya angalia na unao wadanganya.Yaani Rostam ni raia wa India?au umekosea kuandika

KUSEMA UKWELI ni WIVU? mkuu mbona una hisia za KIKE? wewe ni KE?
 
Back
Top Bottom