Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

Lowassa kwa sasa anayefaa kuwa rais wa Tanzania kutokana nakuwa na maamuzi ya kuweza kuitoa Tanzania hapa ilipo na ikasonga mbelekimaendeleo.

Akiweza kutoa fikra zake pale zilipokwama nndo anaweza kuikwamua TZ! Otherwise huu ni ulimbukeni tu!! Lowassa anaujua ukweli wa ufisadi anaotuhumiwa kila kukicha!
 
kwani rostam ni raia wa india au iran mkuu? hebu niweke sawa mkuu maana nasikia alipovua ubunge alienda nyumbani kwao mumbai kujipumzisha na kutuliza akili.

hivi unajua yule muhindi aitwaye zainudin adamjee kwamba sasa hv ni meya huko kwao na alishawahi kuwa mbunge wa ccm kupitia jimbo la kawe?
Inaniuma mtu kujifanya anajua wakati hajui. Kabla ya kuandika jambo google angalau

Nikusaidie

mrrostamaziz_1414768480_28.jpg

Mr Rostam Aziz (Rostam Abdulrasul Aziz), born August in 1961, is a Tanzanian politician and businessman. In 1993 he was elected as a member of the Tanzanian parliament on behalf of the Igunga constituency. He went on to win two consecutive terms as MP. Until November 2007 he served as finance and economic secretary of the Tanzanian parliament . In 2011 he quit politics to focus and grow his family businesses.
The Aziz's are a fifth generation Tanzanian family of Iranian origin. They settled in Tanganika after transiting in Zanzibar 150 years ago. The family began farming sisal, rice etc. Today the Aziz family is among the most prominent business families in East Africa. They are engaged in everything from telecom, ports, agriculture, media, and contract mining.

Zaidi: https://about.me/mrrostamaziz
 
Hujamwelewa mleta mada. Ana hoja ambayo inahitaji uchambuzi sahihi.

Simpendi EL na simkubali kabisa, ila mleta mada ni mnafiki wa kutupwa, kumbuka chanel 10 ni tv ya kibiashara na inafagilia anayeilipa regardgless faida kwa taifa.

Mbona kila siku tv ya umma tbc1 imesheheni taarifa za CCM na kupotosha kuhusu upinzani unakenua tu? Waambie hao tbc1 wamtangaze kwa mbwembwe mgombea wako ili akipata madaraka upate tender ya hata shughuli usizo na uwezo nazo.
 
Hujamwelewa mleta mada. Ana hoja ambayo inahitaji uchambuzi sahihi.

sio tu kwamba hafahamu ukweli ila anajitoa akili kwa sababu anazozijua yeye. kuna baadhi ya watu humu ambao wameamua kufikiri kwa kutumia viungo tofauti na kichwa. hawa ndio wanaowapa jeuri mafisadi waendelee kuitafuna nchi hadi ibaki uchi.
 
wewe ni ndoooooorobo! unajua kashfa ya UFISADI iliyopelekea rostam kuutema ubunge na kukimbilia nchini kwao India kabla Nape Nnauye hajamvua gamba au unakuja kuweweseka hapa kama kuku anayeta kiota cha kutagia?

Ilikuwaje huyo Nape akashindwa kuyavua magamba yaliyosalia Lowassa na Chenge kama "aliweza" kumvua gamba fisadi mkuu Rostam?
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwaje huyo Nape akashindwa kuyavua magamba yaliyosalia Lowassa na Chenge kama "aliweza" kumvua gamba fisadi mkuu Rostam?

mkuu, rostam alijivua gamba mwenyewe kwa kiherehere chake. Nape Nnauye hana uwezo wa kuwavua magamba mafisadi papa zaidi ya kushinda majukwaani akipayuka kama mwendawazimu.
 
Last edited by a moderator:
Hata wakimpatia airtime ya ziada itamsaidia nini Lowassa kuingia Ikulu?

1: maana CCM bado hawajamchagua mtu wa kusimama kama mgombea
2: kwa sasa hakuna mwananchi anayemchagua mgombea wa CCM, so hata akitangazwa sana haimsaidii kitu,
3: nadhani kwa sasa wanachofanya wakina Lowassa ni kujionyesha jinsi walivyojirikimbizia mali na jinsi walivyo na njaa ya kuingia ikulu kutufilisi

You are right. Atakayempigia mgombea yeyote wa ccm hajui anachofanya.
 
Rostam safi kabisa , mnaogopa utajiri wake tu na uchoyo . Ufisadi gani amefanya ? Ukiulizwa ushahidi huna. Hii ni mbinu ilitumika kuwaengua matajiri wanao sapot ccm ili ipungue nguvu. Utajiri sio ufisadi tuwache choyo.

Rostam akimpiga taff Lowassa ni lake na antuhusiwa wacheni ujinga.
 
sio tu kwamba hafahamu ukweli ila anajitoa akili kwa sababu anazozijua yeye. kuna baadhi ya watu humu ambao wameamua kufikiri kwa kutumia viungo tofauti na kichwa. hawa ndio wanaowapa jeuri mafisadi waendelee kuitafuna nchi hadi ibaki uchi.

"...Sijui wamekula maharage ya wapi wale..."
 
Rostam safi kabisa , mnaogopa utajiri wake tu na uchoyo . Ufisadi gani amefanya ? Ukiulizwa ushahidi huna. Hii ni mbinu ilitumika kuwaengua matajiri wanao sapot ccm ili ipungue nguvu. Utajiri sio ufisadi tuwache choyo.

Rostam akimpiga taff Lowassa ni lake na antuhusiwa wacheni ujinga.

jibu hoja badala ya KUHOROJOKA kama mlevi wa gongo na viroba.

cc: mwalimu FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwaje huyo Nape akashindwa kuyavua magamba yaliyosalia Lowassa na Chenge kama "aliweza" kumvua gamba fisadi mkuu Rostam?

mkuu, fisadi rostam alijivua mwenyewe baada ya kuona anaandamwa sana na watanzania. chenge na lowassa walidinda mpaka leo wanaendeleza ufisadi wao bila kuguswa na nyinyiemu.
 
Lowassa usimwache kijana huyu kwenye safu yako naamini atuhitaji kuongozwa na waheshimiwa maskini ndio maana wakifika kule wanaiba na kusahau kilichowapeleka.
 
Vijana.safi.wenyehela.za halali.kama.rostam.tunawaitaji sana atuitaji mhu.i.aje.kutafuta hela.kwenye.uwaziri
 
jaman,uongozi bora hauendani na pesa,ikiwa hivyo basi tuwaweke tu na akina bakhera na mengi,haina haja ya uchaguzi.
 
Lowassa usimwache kijana huyu kwenye safu yako naamini atuhitaji kuongozwa na waheshimiwa maskini ndio maana wakifika kule wanaiba na kusahau kilichowapeleka.

Ni kweli Tunahitaji watu kama Rostam Azziz,Chenge,Karamagi,Nyalandu,Ngeleja.Mzee wetu hakikisha ile team yote ya Richmond,EPA,na ESCROW lazima ziwepo kwenye Jeshi lako la miavuli.Usiwasahau wauaji wa RAIA wasio nahatia pia tutawahitaji sana,hasa yule aliyeua kule Arusha huyo naona akiwa Waziri wa Ulinzi na JKT ataweza kwa uhakika siyo tu kupambana na raia bali kuhakikisha raia wote watakaojifanya kutafuta HAKI zao kupotea tu kwa siri au kwa wazi.

Na hakikisha sheria ya Askari yoyote atakayeondoa MAISHA ya mpinzani atazawadiwa ubunge au Ukuu wa wilaya

Ukiawaacha Watanzania hwatakusamehe kamwe.............:A S 109::A S 109::A S 109::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
 
mtoa post wewe kichaa chako ni cha hali ya juu sana wakina kinjekitile junior hawakufikii
 
Back
Top Bottom