Wewe joka la mdmu ulitaka chanel ten wa mpgie debe baba yako ....chanel ten ni mali bnafs kama unataka air time kalipie matangazo utangazwena mgombea wako wa watu 20
mkuu sio tatizo lake,ni hizi kuku wanazokula huko kwenye fast food,sasa zile kuku zimekuzwa na machemikali ambayo vijana wa kileo wakibugia,zinasababisha chemical imbalance,na kuathiri homone za kiume kuwa za kike,ndoo maana vijana wanakuwa na tabia za kikekike,kuvaa mtepesho,maneno ya vijembe,kulalamikalalamika,kulialia,etc.
Watanzania mnashangaza sana... As much as i want lowasa and ccm to perish i wont entertain this stupidity ya watu kuja na malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu... Huyo rostam kanunua lini ch ten na hata kama kainunua mtoa mada analazimishwa kuiangalia? Huu ni upuuzi kuandika humu hakutamfanya lowasa asiende ikulu.. Kama unataka lowasa asiende ikulu kajiandikishe na hamasisha wengine wajiandikishe bila kusahau juwapa elimu ya uraia ili wasidanganyike na khanga na vitenge.. Hizi lowasa kafanya hichi kafanya kile bila ushahidi ni upuuzi usiovumilika na mara zote walalamikaji ni hao hao makuwadi wa wapuuzi wale wale ndani ya ccm!
sijaona hoja hapo zaidi ya hisia zilizobeba chuki dhidi ya watu. kajipange kwa kweli kwani nimejikuta naona aibu hata kukwambia kuwa unazidi kuchanganyikiwa kadiri siku zinavyozidi kwenda
Siku Lowasa jina lake likikatwa ndiyo atajua kuwa kumbe yeye siyo marufu hata kidogo bali ni pesa ndiyo zinamfanya aseme kitu.