Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Ukisoma btn lines, utaona kuwa RA amemsifia JK tu na hakuna mtu yeyote ambaye anamwamini ndani ya chama cha magamba. Hivyo kwa wale wanao shangilia wajiulize, kuwa kuli koni na wajiandae kupata masambuli ya kutoka polini (Bashe). Ukisoma vizuri RA ametoa lawama tuu, hadi akafikia kusema gutter politics. Magamba mna kazi.

Pia nawapongeza CDM kwa kufanya maandamano igunga na kutoa matamko ambayo nayo yamefanya huyu mwizi asalimu amri. kilichobaki ni kukusanya ushahidi na kumpeleka mahakamani.
 
Nahisi mapacha watakuwa wameorganize hiyo exit, sina shaka chenge ndie atafuatia. The end of RACHEL...
 
Ngoja tumsubiri yule Kikwete kama atatia neno kuhusiana na kujiuzulu kwa RA, mtu ambaye alimuweka Kikwete na Serikali yake yote mifukoni mwake.

Hebu tema mate chini mkuu,athubutuu? sana sana tu atasema hii ni ajali ya kisiasa na atawapa pole wananchi wa Igunga na kumsifia kichinichini au hadharani kwamba Rostam hakuwa mbinafsi amejiuzulu kwa maslahi ya chama chake na atawaomba wananchi wa Igunga wawe watulivu tu tutashirikiana nanyi kwa karibu.atawambia Endeleeni kuwa na imani na CCM kwani wanasikiliza kilio chao
 
Kwa biashara halali huyu bwana hatoki tena, alishazoea vya kunyonga kuchinja huyu hawezi
 
Kabla hujaanzisha thread uwe unaperuzi jukwaa kwanza, thread za taarifa hii zipo kibao humu.
 
kwa uhalisia wanaonekana na uchu wa madaraka, na kwa huyu aliyejivua ni kwamba amesha jihakikishia maisha baada ya hapa kwani nasikia familia yake keshaihamisha hapa bongo! so jamaa atakuwa anasepa bongo na kama unavyojua jamaa anaasili ya arabuni, je hawa wengine watakimbilia wapi?
 
Hii nchi ya ajabu sana.........kwamba rostam ni mchafu mbele ya ccm lkn ni msafi sana ndani ya bunge na machoni pa watz.........inatakiwa akijivua gamba akamatwe fasta afunguliwe mashtaka na kesi yake iendeshwe haraka sana na kisha afungwe alafu mali zake zote zitaifishwe...."najua ni ndoto za mchana kwani tangu lini kikwete akakubali mapendekezo km haya"
.


Unapenda ushabiki wa kitoto sana, ashitakiwe kwa kosa gani. hivi unafikiri sheria ni kama kucheza bao? si afadhali ukasema ukamgonge na gari afe, au uende kijijini kwenu ukamloge afe, alafu eti mali zake zitaifishwe, wewe utafaidika nanini?
 
3.JPG
 
Nachukua fursa hii kukupongeza Rais mpendwa wa wanachi JK kwa kuchukua maamuzi magumu ambayo ni cherekeo kwa watz wakiwemo wana CDM. Juhudi zako za kusafisha chama zimezaa matunda. Tamko ulilitoa Dodoma moezi 3 iliyopita lilpokelewa na WAPINZANI hasa wana CDM kama utani!. Leo hii ni dhahiri kuwa ZOEZI la KUJIPIMA kwa watuhumiwa ndani ya chama ilikuwa ni kauli ya DHATI kutoka mdomoni mwa MWENYEKITI wa CHAMA ambaye ni AMIRI JESHI.
Wenye akili tulijua maneno yako hayakuwa POROJO bali ni KAULI THABITI ya kusafisha cham ambacho ni kimbilio la watz wa makundi yote.
Tumeshuhudia leo MKOA wa Tabora ukirudia HISTORIA ya matukio makubwa nchini, RA akibwaga manyanga!!!!!!. RA alikuwa ni mti mkuu ambao umeshaanguka, twategemea miti midogo EL na AC wakitafakari la kufanya sio kama kuachia ngazi fasta fasta.

CDM mlie tu hamna HOJA tena juu ya CCM kukumbatia UFISADI.

JK twakutakia uongozi mwema ili watanzania wazidi kuneemeka!
 
Changa la macho tu kama hajafikishwa mahakamani. Mwaka huu tutachinjilia mbali wengi. Hiyo ni faida kwa upinzani bila shaka
 
hawa wengine lazima waingie kikaangoni tu jamani the only king maker alikuwa rostam peke yake na ameamua kujiuzulu baada ya taarifa ya wamarekani ya juzi kumtaja kama king maker wa tanzania hali hiyo ikasababisha biashara zake za ulaya kutiliwa mashaka na ndio sababu ya yeye kustep down leo
 
Rostam yeye mwenyewe ndio gamba, CCM ndio joka lililojivua gamba Rostam.

Au kwa sababu amejiuzuru na sio kufukuzwa, basi tuseme Gamba Rostam limejivusha!
 
Arudishe vyetu vyote, amekula sana kodi zetu huyo. asitutanie hapa, sasa wampeleke mahakamani,
 
Jamani huyu sio wa kubaki mtaani tena, ni kwenda kunyea kopo tu. Ametuibia sana wa tz. Rostam go HELL.
 
Hivi, ameshawasilisha barua ya kujiuzulu Ubunge ofisi za Bunge? maana kwenye tweet January Makamba anasema amepeleka barua ya kujiuzulu ujumbe NEC (CCM) na Ubunge kwa mwenyekiti wa CCM. Isiwe kiini macho, kesho tukasikia akisema "nimeshauriwa na makada wenzangu niendelee na Ubunge"!!
 
Nachukua fursa hii kukupongeza Rais mpendwa wa wanachi JK kwa kuchukua maamuzi magumu ambayo ni cherekeo kwa watz wakiwemo wana CDM. Juhudi zako za kusafisha chama zimezaa matunda. Tamko ulilitoa Dodoma moezi 3 iliyopita lilpokelewa na WAPINZANI hasa wana CDM kama utani!. Leo hii ni dhahiri kuwa ZOEZI la KUJIPIMA kwa watuhumiwa ndani ya chama ilikuwa ni kauli ya DHATI kutoka mdomoni mwa MWENYEKITI wa CHAMA ambaye ni AMIRI JESHI.
Wenye akili tulijua maneno yako hayakuwa POROJO bali ni KAULI THABITI ya kusafisha cham ambacho ni kimbilio la watz wa makundi yote.
Tumeshuhudia leo MKOA wa Tabora ukirudia HISTORIA ya matukio makubwa nchini, RA akibwaga manyanga!!!!!!. RA alikuwa ni mti mkuu ambao umeshaanguka, twategemea miti midogo EL na AC wakitafakari la kufanya sio kama kuachia ngazi fasta fasta.

CDM mlie tu hamna HOJA tena juu ya CCM kukumbatia UFISADI.

JK twakutakia uongozi mwema ili watanzania wazidi kuneemeka!

Duh! ukistaajabu ya nanihii utaona ya nanihii.....Nani mwenzetu? Malaria Sugu, Kishongo, FF au Kikwete?
 
Ana mikataba ya muda mrefu ya kuchimba michanga kwenye migodi ya kuchimba madini (Mwadui, Barrick,n.k.), hivyo kama alikuwa analalamika ni bosheni tu au kwa makusudi maana nadhani alishtukia ukimsikiliza!
Jamani kama anamikataba namna hiyo sasa inabidi huyu jamaa ashtakiwe vinginevyo atakimbilia iran mda si mrefu..
 
Naenda jimboni Igunga kugombea!

Wee Gagurito umeanza fujo zako, jimbo tayari tumeshampangia kijana mchapa kazi, Mzaliwa wa Igunga, mwadilifu, mnyenyekevu na msikivu, mwenye uzoefu wa kuongoza wanainchi, aliyesomea uongozi, je wewe una sifa hizo? ila tunakukaribisha Jumamosi tunaenda kupeana majukumu ya maeneo na kupanga mikakati ya ushindi, mie vijiji vyooote vya ng'ambo ya mto sina wasiwasi kabisa na wewe utapewa kuhamasisha ...Mwanzugi, Itumba, Loya, Makomelo etc, usikose kuja eeh


Hey a.k.a.....Steve..Golden chance never come twice, hii ndio chance baba, Na endapo jamaa akitumia mifedha kumweka kibaraka wake basi njia shortcut ni kudandia gari la CDM.
 
Uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga likiangukia mikononi mwa upinzani CCM watamlalamikia Nape au kikwete aliyetangaza kujivua magamba?
 
Hii ndo habari yenyewe, nimeongea naye anasema hakuna kitu cha namna hiyo
Hii ni habari za kizushi, anasema huu mchezo wa habari za kusadikika zinachezwa na
wanaccm wanzake hili kumchafua hasahasa katibu muenezi,
amesema "hii itasababisha chama changu kuwa hatari wakiendelea na mchezo huu" mwsho wa kunukuu


Wakuu ndo hayo tu
Kweli leo wambea mmeumbuka eti umeongea naye.
 
Back
Top Bottom