zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
Hivi huyo wa katikati ni Tibaigana au nimemfananisha?
Naambiwa bado hajaondoka Igunga na timu yake ya waandishi, nafikiri ni wale wale na tutawajua kwa kuangalia magazeti kesho
Kweli Rostum Aziz ni kipenzi cha wengi nimeamini...!
There are currently 1955 users browsing this thread. (343 members and 1612 guests)
Kumbuka kwamba ni ROSTAM aliyewauzia Symbion kampuni ya Marekani mradi wa Dowans, katengeneza mapesa ya kutosha kisha kaamua kuachana na wajinga wa Kitanzania!!!. Tujiulize kama WILLIAM Ngeleje alipata mgao kutoka kwa bosi wake ROSTAM, kama alipata na yeye huenda akaachia ngazi. Ngoja tusubiri.hawa wengine lazima waingie kikaangoni tu jamani the only king maker alikuwa rostam peke yake na ameamua kujiuzulu baada ya taarifa ya wamarekani ya juzi kumtaja kama king maker wa tanzania hali hiyo ikasababisha biashara zake za ulaya kutiliwa mashaka na ndio sababu ya yeye kustep down leo
"Niliseme hili mapema. Mshangao na mshituko wangu haukusababishwa na kutajwa kwa jina langu, la hasha, bali namna uamuzi halisi wa NEC na hususani dhana nzima ya ‘kujivua gamba' ilivyoweza kupindishwa na wajanja wachache na kisha kuendeshwa kwa maslahi binafsi ya kikundi fulani cha watu.
Pili, nilishangazwa na kushitushwa na hatua ya viongozi wa chama changu ambacho nimekitumikia kwa bidii na uaminifu mkubwa kufanya juhudi kubwa hata kukivisha kikao kitukufu cha NEC uamuzi ambao msingi wa hoja zake ni vita vya kimakundi ya kisiasa yaliyo ndani ya CCM kwa upande mmoja na propaganda za vyama vya siasa vya upinzani na vyombo vya habari kwa upande mwingine.
Tatu, nilishangazwa na kushitushwa na ujasiri ambao umekuwa ukioneshwa na baadhi ya viongozi wetu wapya wa Sekretarieti wanaolitaja jina langu na kulihusisha na kile wanachokiita ufisadi ambao hata ukweli wa kimazingira na kihistoria ukiachilia mbali ushahidi wa wazi umeshathibitisha kwamba ni porojo za kisiasa zilizotokana na makovu na matarajio ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005 na ule ujao wa 2015."
Kama imekugusa sana nenda kanywe nae chai kabla hajawa mfungwa.
Unapenda ushabiki wa kitoto sana, ashitakiwe kwa kosa gani. hivi unafikiri sheria ni kama kucheza bao? si afadhali ukasema ukamgonge na gari afe, au uende kijijini kwenu ukamloge afe, alafu eti mali zake zitaifishwe, wewe utafaidika nanini?
who is the next cash heist kingpin to finance ccm ?
Rz1 or
Ila huyu Rostam Azizi mjanja sana! Na hivi hajarudisha kati yake ya ccm ataendelea kuwatesa!Kumbuka kwamba ni ROSTAM aliyewauzia Symbion kampuni ya Marekani mradi wa Dowans, katengeneza mapesa ya kutosha kisha kaamua kuachana na wajinga wa Kitanzania!!!. Tujiulize kama WILLIAM Ngeleje alipata mgao kutoka kwa bosi wake ROSTAM, kama alipata na yeye huenda akaachia ngazi. Ngoja tusubiri.
Hah! Kesho mtu wa watu kishajinunulia lead story za magazeti yote yatakayotoka. Nani anabisjha?