Hivi Ben, umeandika nini hapa, ni wazi ulikuwa na mgongano wa mawazo kwenye kichwa chako. Ulianza kwa akili yako na umakini ambao unao siku zote. Haahaahaa baadaye ukakumbuka kuwa unatakiwa uendeleze kile alichotuonya RA kwenye hotuba yake, "yaani siasa za kuchafuana" maana huo ndiyo mtaji wa chama chako. Hii ni mbaya sana ni afadhali ungenyamaza tu kuliko kujiweka katika kundi la wafuata upepo. Nimekerwa sana na hii post nadhani hii ni miongoni mwa comment mbovu kuwahi kutokea kwa mtu kama wewe "Mwanasiasa kijana".
kafulila jana kasema na mimi sitaki kurudia rudia, ila hii ndiyo tafasiri yake. hakuna wa kumfungulia mtu mashitaka ili haki itendeke.Kama ni kweli itabidi sasa apelekwe mahakamani au wataendelea kumkumbatia
Precisely!!CCM INAVYOKUFA-ASANTE MUNGU, UNASIKIA KILIO CHANGU amen
Kwa taarifa zilizo rasmi nilizozipata ivi punde ni kwamba mbunge wa igunga ROSTAM AZIZ amejivua nafasi zote za uwongozi alionao ndani ya chama ikiwamo ile ya au jumbe wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi.....akisisitiza pia uwamuzi wa yeye kujitoa katika nafasi iyo hautokani na shinikizo toka kwa chama kwa sera ya kujivua gamba bali ni uwamuzi wake binafsi wakuachana na siasa uchwara na kutilia mkazo biashara zake....
JK alimfananisha RA na mchezaji muhimu kwenye timu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu huko Igunga.Hii ni Embarrasement(fedheha) miezi 9 baada ya kampeni za uchaguzi
amejiuzulu ubunge na ujumbe wa NEC mkoa wa Tabora...imesharushwa live ITV SASA HIVI..! ni hatua nzuri..ninampa hongera kwa uamuzi mgumu..
habari nilizo zipata ni kwamba rostam azizi ajivua gamba rasmi kajivua ubunge na kajitoa nec, source, radio one breaking news
hivi jamani mmesoma habari yenyewe???
mbona kasema amejiuzulu hata ubunge???
kumbe ndo maana watu wanasaini mikataba bila hata kuisoma.