Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Naam, kila mtenda naye hutendewa. Lakini pongezi pia ziende kwa chama cha magwanda ambao kwa kiasi kikubwa kiliwaamsha wananchi kuhusu maovu ya huyo Muirani.
 
Nimesikia Kubenea anaandaa bonge la party mahali fulani hapa Dar akiwaalika comredi wake katika mapambano, kwa ajili ya kupongezana kwa bonge la kazi iliyofanyika.
 
Yaani seems ufisadi enzi za Kikwete umejitriple awamu hii...moyo unawaka mimi moto
 
Back
Top Bottom