ULAGHAI MTUPU RA ni mchezaji wa nje atakayehakikisha EL anakuwa Rais subiri!!!!!!!Nachukua fursa hii kukupongeza Rais mpendwa wa wanachi JK kwa kuchukua maamuzi magumu ambayo ni cherekeo kwa watz wakiwemo wana CDM. Juhudi zako za kusafisha chama zimezaa matunda. Tamko ulilitoa Dodoma moezi 3 iliyopita lilpokelewa na WAPINZANI hasa wana CDM kama utani!. Leo hii ni dhahiri kuwa ZOEZI la KUJIPIMA kwa watuhumiwa ndani ya chama ilikuwa ni kauli ya DHATI kutoka mdomoni mwa MWENYEKITI wa CHAMA ambaye ni AMIRI JESHI.
Wenye akili tulijua maneno yako hayakuwa POROJO bali ni KAULI THABITI ya kusafisha cham ambacho ni kimbilio la watz wa makundi yote.
Tumeshuhudia leo MKOA wa Tabora ukirudia HISTORIA ya matukio makubwa nchini, RA akibwaga manyanga!!!!!!. RA alikuwa ni mti mkuu ambao umeshaanguka, twategemea miti midogo EL na AC wakitafakari la kufanya sio kama kuachia ngazi fasta fasta.
CDM mlie tu hamna HOJA tena juu ya CCM kukumbatia UFISADI.
JK twakutakia uongozi mwema ili watanzania wazidi kuneemeka!
Atapambana na NEPI ya Jaa la kaya vizuri akiwa nje ya ulingo.
Kumbuka ameondoka kwa chuki akisema gutter politics ohooo tungoje tu>>>>>>>