Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Nyerere hawezi kuepuka lawama juu ya hili, alidumaza mwamko wa watanzania kiasa, ndiyo maana tunachezewa na mafisadi kiasi hiki bila hata kung'amua kiwango cha dhihaka hii.
Vipi kama ali crack down on mwamko ili kujenge stability iliyokuwa haipatikani Africa wakati huo.
Ina make sense?
... hii inanikumbusha jinsi ulivyogoma kuhalalisha kujiuzulu kwa Lowassa baada ya Mwakyembe na kamati yake kuonekana hawakumhoji Lowassa katika sakata la Richmond.There are inviolable principles such as democracy and the rule of law, these cannot be violated in the style of "the end justifies the means" otherwise ukishaanza ku-compromise hizi principles unaweza hata kumsamehe Stalin baada ya kuelewa undani wa "The Archipelago Gulag".
... hii inanikumbusha jinsi ulivyogoma kuhalalisha kujiuzulu kwa Lowassa baada ya Mwakyembe na kamati yake kuonekana hawakumhoji Lowassa katika sakata la Richmond.
... but if i'm not mistaken, katika hilo swala ulisema the "the end justified the means" and now i wonder whether that was an endorsement or rejection of the entire saga..

Wakuu wangu, mabibi na mabwana,
RA kama nyinyi ana source zake za kupata hela kihalali. Ana/alikuwa na share Voda, kuna Caspian etc. Sasa sielewi kama kila anachotaka kutoa nyinyi mnasema ni ufisadi.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mmezidi kulaumu na kuzomea utafikiri wamachinga.
Fikirieni kidogo mtaelewa kuwa anazo hela halali pia.
wacha kabisa!!!!!! yaani kama jambazi akaipata pesa kwa wizi na akaamua kuacha wizi na zile pesa akazifanyia biashara mbalimbali, je hizo biashara ni halali?
DUH! mmmh! HAYA!
Simple Question for you: IPI ilianza, Caspian na Voda au HELA ZA EPA?
Swali dogo tu mama naomba majibu.
Naomba niombe watanzania wenzangu kujaribu kufikiri kidogo kabla ya kuandika.
La sivyo ile kauli ya BEN kuwa tu wavivu wa kufikiri na mbilikimo wa mawazo ITATIMIA.
hi stori inanikumbusha kanisa moja la kule dom la anglikana ambalo lilipewa ufadhili na wale waliohalalisha ushoga kanisani, wengine wakazipinga sana kua waha taki ila mwisho wa siku walichukua na kujenga nyumba ya Bwana, Haki ya nani njaa mbaya. ndo maana wanasema Adui yako muopmbee njaa he/she will always be under your influence. njaa mbaya wajemeni.......loooookwa kweli hilo kanisa lilipokea fedh ya rostam, ambayo ni ya wizi, watajuta. ni kama vile vipande thelathin yuda iskariote alivyomuuza navyo Bwana wa uzima, YAANI YESU, JINA KUU KUPITA YOTE
Naomba niombe watanzania wenzangu kujaribu kufikiri kidogo kabla ya kuandika.
La sivyo ile kauli ya BEN kuwa tu wavivu wa kufikiri na mbilikimo wa mawazo ITATIMIA.