Bwana Yesu hakuja kwa ajili ya watenda mema, the church is open to every one!!! if they happen to leave several millions behind, tis even better. Imeandikwa, revenge is mine.... judgement too
Church reverend suspended over Rostam Aziz incident
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
The MP was one of the most prominent casualties of the committee's final report, along with ex-prime minister Edward Lowassa and ex-cabinet ministers Nazir Karamagi and Dr Ibrahim Msabaha.
Hivi kwenda kanisani mpaka ukaribishwe?
Hivi kwenda kanisani mpaka ukaribishwe?
Hapa katika hii thread ndipo Rostam alipokerwa na baadhi ya wachangiaji... musiniulize nimejuaje
Sijawahi kukuandikia PM nikikwambia wewe ni zitto..Na naomba Invisible ulishughulikie hii la Uongo.Unang'ang'aniza hoja zako zisizo na msingi.Nmfahamu zitto ni siyo mtu wa aina yako na nakuhakikishia hata akitumia ID nyingine nitamjua kwa maneno yake.Acha kurukia usiyoyajua mkuu, haya hayakuhusu soma kama huelewi uliza mbona unanitumia maneno mengi sana kwenye PM, sasa haya imekuwaje na wewe ni mmoja wapo nini? Halafu aliyekuambia kuwa mimi ni Zitto kama unavyosema kwenye PM ni nani? Hivi leo kumepita nini hapa JF, maana sasa I am lost!
Rostam Ni Mjinga Tu!
Rostam amepitwa na wakati na Upuuzi wake unajitokeza hadhrani na hatazuilika kuonekana kwa uhalisi ake kuanzia sasa na kuendelea.
Rostam kaishiwa na fikra timamu.... Haoni umbali zadi ya Pua yake ilipo... Kwa nini washauri wake wajinga wasimshauri akaachana na mambo yasiyo na mbele wala nyuma anayoyafanya kwa kisingizio cha kujisafisha?
Its too late...hasafishiki...The more and hader he try to do it the more it backfare...and every one get to know the true colour of the really Rostam
Wachana na kuwachanaganya waumini...si mahali salama kwako kupagusa...Uta aibika milele...ona sasa kinachokutokea..!
Rostam nyakati zako zmepita..wachana na kuhujumu waumini...!
Mara baada ya maelezo ya Rostam kwa waandishi wa habari ambayo yatarushwa hivi punde, tutapata nafasi ya kumsikia Mchg. Christopher Mtikila akizungumza nami kuhusu madai ya Rostam.
Tatizo letu waTZ kila mtu tuna mshakia kiasi kwamba kila mmoja tunamchanganya na mafisadi. Siamini kuwa kuna mtu aliye kamilika by 100%. Hata huyo baba wa Taifa Hayati J.K. Nyerere hakukamilika lakini haitoshelezi kumuweka kundi moja na mafisadi.
Nashauri tujaribu kuwapa watu credit stahili zao. Ni muhimu watu wasisahau kuwa popote penye watu zaidi ya mmoja lazima approach ya mambo itatofautiana kulingana na mtizamo wa kila mmoja kwani kila mmoja ni unique kwa kila kitu, la msingi ni kufikia muafaka ni approach gani at least inaungwa mkono na majority kwa hoja za msingi siyo tu kwa uwingi (hapa ndiyo umuhimu wa kiongozi kuchukua uwamuzi kitu kinacho mshinda msanii J.M. Kikwete.
Ni bora ya akina Mtikila, Lyatonga, Cheyo, Mbatia, Mabere, n.k. kuliko wanafiki akina Lamwai, Kaburu, Nswazingwako, Akwilombe, Tambwe, n.k. Tunahitaji kuwaunga mkono akina Mtikila ili waone support nyuma yao wapate nguvu yakufanya wanayoweza. Mpinzani wa kubabaisha hawezi kuvumilia taabu za kupigwa mabomu, kuvunjwa viungo vyao, kufunguliwa kesi zisizo na kichwa wala miguu, kufungwa, n.k. kwa kipindi cha miaka karibu 15.
Tusitarajiye kupata watu wa extremes kwani pia wana matatizo yao. Naomba tuwaunge mkono hawa wanaojaribu kama akina Mtikila na wenzao.
Rgds,