Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
Hizi siasa za kina Nape hizi........kha! huyo Rais wetu anayeitwa Dr mpaka sasa ametunyesha nini chakufanya tusifie elimu yake? Nape na SERIKALI yako tafuteni ufumbuzi wa matatizo ya Watanzania udini unatamalaki nchini acheni kuhangaika na elimu ya Mnyika.

Mwenye macho haambiwi tazama. Kama hujayaona mafanikio kwa muda mchache aliokuwepo Kikwete madarakani basi wewe ni wale wenye macho lakini hayaoni wenye masikio lakini hayasikii.
 
Mnyika ndio shujaa wangu, shujaa haitaji elimu sanaa. Content yake kwenye jamii tu yatosha
 
Safari_ni_Safari nionavyo kama haya yangelikuwa ni kweli kwanini basi yumo kwenye vikao vya ccm kule si anapotezea utaalamu wake? Kama kweli ana hata huo utaalamu?

Soma hii ya mtoto wa madiba......

Makgatho Lewanika Mandela (26 June 1950 – 6 January 2005) was the son of former South African President Nelson Mandela and his first wife Evelyn Ntoko Mase. He was an attorney, widowed with four sons. He died of AIDS on 6 January 2005 in Johannesburg.His second wife, Hi Zondi Mandela, died on 13 July 2003 at age 46. At first, her cause of death was given as pneumonia; after Makgatho's death, their son Mandla later announced that her pneumonia had been a complication of AIDS.


When Nelson Mandela announced the cause of his son's death, he said: "Let us give publicity to HIV/AIDS and not hide it, because the only way to make it appear like a normal illness like TB, like cancer, is always to come out and say somebody has died because of HIV/AIDS, and people will stop regarding it as something extraordinary."


Makgatho Mandela is sometimes wrongly referred to as the older son of Nelson Mandela, but his brother Madiba Thembekile Mandela (Thembi) was born in 1944.Thembi was killed in a car crash in 1969.


Makaziwe Mandela is a sister of Makgatho Mandela.
 
Maoni yangu:

Acheni kujadili watu jadilini hoja (matatizo ya watanzania mliyowasababishia kwa miaka hamsini na moja (51)). Kujadili watu ni ishara ya kushindwa hoja.
Hoja yenyewe inahusu mtu.
 
Sijui kuhusu elim ya mnyika ila nina swali moja tu;
Je,alishawah kutaja mahali kua anayo Elimu ambayo hana?

hilo ndo lamuhimu mkuu! la sivyo hawa ccm wanazidi kumpa umaarufu mkubwa nchini!
 
Mimi nataka CCM watujibu kwanza wale mafisadi wa elimu kama Lukuvi, waje watolee maelezo then tusonge mbele na hili mla mnyika, halafu Ritz 1 ile kesi aliyosema atampeleka Dr. Slaa mahakamani bado anaidraft?
 
Riz1 Kikwete kapost hvi facebook kuhusu Mnyika..

Hivi juzi bwana Nape Nnauye alijitokeza hadharani akisema juu ya uhakika alionao kuhusiana na elimu ya bwana Mnyika (mb) kuwa ameishia form Six. nikaguna kidogo hasa nikiangalia mambo mengi sana.

Mie nimepata nafasi ya kukaa na Mnyika pale chuoni na nikaona hata uhodari wake katika kuchochea migogoro. ninamkumbuka katika sakata la Mikopo ya wanafunzi na jinsi alivyoshauri wanafunzi waandamane waende IKULU kwa miguu.sasa swali au maswali ambayo sina jibu nayo ni kama haya

1. Nini kilitokea mNYIKA (MB) baada ya sisi kuondoka CHUONI? maana kumbukumbu zinaonyesha nilikuacha ukiendelea na masomo.

2. lini ulimaliza chuo pale mlimani?

3. unakumbuka habari ya Bw.Kihiyo wa jimbo la Temeke na ushuhuda wa ELIMU ambayo hakuwa nayo.

JITOKEZE HADHARANI TANABAISHA JUU YA UFAHAMU WAKO . MAANA WENGINE WAMEANZA SEMA ..................... NDIYO MAAANA KUMBE.!!!!!

My take.
HUYU JAMAA KUMBE NI MBUMBUMBU KAMA MDINGI WAKE,JE MNYIKA AKITAJA ELIMU YAKE NINI KITABADILIKA TZ..


Ili Ridhiwan apate moral authority ya kumyoshea kidole JJMnyika sharti kwanza aweke bayana na kujisafisha kuhusu tuhuma za utajiri kedekede alionao ambazo aliwahi kutishia kwenda mahakamani kuwashtaki wanaomtuhumu baadae akasgwaya, miguu ikaingia baridi!! short of that sisi hatuna interest na elimu ya Mnyika bali uwezo wake wa kujenga hoja na kuitetea kuhusu mambo yenye maslahi ya kitaifa. period
 
Safari_ni_Safari umeua!!! Huyu dogo elimu yake pamoja na huyo Nepi tunazijua.Nape pale Mzumbe hiyo Masters ni kama alipewa zawadi na hiyo ipo wazi!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini Elimu ya Mnyika ni of great interest kwa magamba? Mbona CCM kuna hadi Darasa la pili kama akina Jah People, Prof. Maji marefu na wengineo wengi ambao hatujawahi kuhoji?

Kwanini magamba hawajishughulishi na elimu ya wabunge wengine kibao ndani ya CCM na nje ambao wameishia form four tu, lakini wanahangaika na elimu ya mnyika ambaye wanadai ni form six?

Kama kweli Mnyika ana Elimu ya form six na bado anawakimbiza namna hii magamba, basi Mnyika ni genius, maana uwezo wake ni zaidi ya Maprofessor na Madokta waliomo ndani ya CCM, akiwemo na yeye Nape na Riziwani.
 
Kweani ni dhambi kuhoji elimu ya mnyika? Mbona mnabadilika ghafla au ndo mapenzi upofu? Acha aseme yeye,au kama unajua kiwango cha elimu yake sahihi sema tu hakuna ugomvi-kama chongo sema tu chongo au kengeza nalo sema tu. Acha U-CDM pembeni kisha rejea ucdm wako
 
Kaka sikiliza simulizi za alfa ulellah.......

Mr. Kikwete is a young and dynamic legal practitioner with 5 years experience in legal practice having worked with reputable law firms in and outside Tanzania.Before joining GRK Advocates as a partner Mr. Kikwete worked with IMMA Advocates holding different challenging positions from January 2005 to December 2010.


During the same period Mr. Kikwete was attached to DLA Piper in London, one of ten largest law firms in the world where he was exposed to high level legal practice in the area of project financing. Both at IMMA Advocates and DLA Piper Mr. Kikwete was involved in various areas of modern day legal practice ranging from legal drafting to major aspects of project financing including due diligence inquiries, loan negotiations, consortium building and mortgage financing. His five years period of his legal practice saw him moving within the ranks of the law firms from legal officer to a partner level. Mr. Kikwete is therefore equipped with sufficient administrative as well as technical skills required for running a successful law practice.


Mr. Kikwete was admitted to the bar of advocates in 2009. He is also handling commercial and corporate litigation matters at all levels of court system and quasi- judicial tribunals. At GRK Advocates Mr. Kikwete is a partner in charge of Administration and Business Development.


He is a member of Tanganyika and East Africa Law Societies. Apart from the law degree Mr. Kikwete holds Postgraduate Certificate in Business Development from the Hull University (UK)
My God! is this a cv or something else? It is too blurred to call it a document that fits in the academia, for example there are eight expressions denoting "Mr Kikwete" in only 3 or say 4 paragraphs. Shame on you!
 
Akili ndogo huongelea mtu ni kazi ya vuvuzela kuropoka
 
Kweli hawa jamaa hamnazo, hivi tafasiri ya elimu kwao ni degree? cdm na watz wa leo tunaangalia OUTPUT ya mtu leo hii kuna maDR na maPROF wangapi bungeni na tunaona wakipiga usingizi mnyika hata awe na elimu ya chekechea tutaendelea kumuhitaji kuliko yule anajiona ana elimu ndiyo watajua watz wa leo sio wale wa mwaka 47.
 
Uaminifu kwa jamii maana hata kwenye website ya bunge hapajaandikwa kitu kinachohusu elimu yake.

Kwani elimu ni siri?

Dr. Slaa mmemshindwa sasa, mmeaamia kwa Mnyika....
 
Riz1 JITOKEZE HADHARANI TANABAISHA JUU YA UFAHAMU WAKO .
Uwezo wa ufahamu wa Mnyika tunauelewa na Ufahamu wa Kikwete tunauelewa.
Kikwete pamoja na kwamba alishawai kuwa waziri wa fedha,waziri wa mambo ya nje na degree ya uchumi kabatini lakini bado hajui ni kwa nini Tanzania ni maskini!!!
 
kumbe mwana wa mfalme amesoma?
kule china alikuwa anaenda kufanya nini
ina maana elimu yake hata hivyo haimsaidii kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom