Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
hizi ni baadhi tu ya comments chache nilizoziona..waTanzania wanajaribu kumfahanisha kwamba wameamka na wanajua nini wanafanya,muda wa viongozi kudanganya watu ilikuwa zamani.
.....n University...
32 minutes ago · Like
Yusuph Uzi
leaders are born not made rajabu mbaga,unaonesha ukada na ushabiki usiyo na msingi kaka,sasa kama ridh anapewa nchi unadhani nini kitatokea pamoja na elimu yake,rajabu u have to be critical thinker bro!hivi unajua maana ya elimu ya kutosha?siyo digrii kama ulivyokariri kama kipofu!hata mtu akijua kuwa ukimwi unaua ni elimu pia!wake up usipelekwe!
31 minutes ago · Unlike · 3
Adolf Mkono
Swali zuri sana bwana Riz.Vp kuhusu mzee na udaktari wake unaweza kuongea naye then ukatupa majibu kupitia ukurusa wako huu?
31 minutes ago · Like · 7
Rajabu
..swala la elimu ni muhimu sana kwa nchi yetu..mi naona agenda hii ni sawa tukaijadili maana naona MNYIKA ni tegemeo la watanzania walio wengi hivyo lazima tumjuwe vizuri hata mimi nilikuwa najua ana elimu ya chuo kikuu. yusuph ridhiwani bado hajafikia uwezo wa kupewa nchi na yeye tuu hata akina Zitto, January, Nape, Lissu, lema na vijana wengine wengi ila nachosema tuu ni kwamba hawa wote watakuwa viongozi wazuri kwa nchi baadae maana wanaendelea kukomaa kisiasa.
23 minutes ago · Like · 1
Benson Godfrey
Ww Patric 0tino ww ni mbongo kwanza ww?
13 minutes ago · Like
Adolf Mkono
Katiba ijayo iweke wazi elimu za ma-first lady siyo kwenda tu na akina mama Salma na certificate zao za ualimu wa chekechea kutoka GLOBAL COLLEGE Kariakoo.
10 minutes ago · Like
Gasper Dickson
@ rajabu ukisha jadiri MNYIKA FORM SIX AU DEGREE alafu inakuwaje?????????? this is primary level debate hatutegemei mtu aliyesoama masters anaweza anzisha mada kama hiiii.....kuna vitu vingi sana nya kufikiria at masters level.
8 minutes ago · Like
Raymond Mauki
Hivi hata wewe unaacha kuzungumzia mambo ya muhimu yanayokabili taifa letu unajadili elimu ya mtu fulani kwasabab ni upinzani? tuna mambo mangapi yanatusumbua Tanzania,suala la muungano,suala la udini,suala la gesi,elimu,maji na kadhalika..badala yake unataka waTanzania tuache hayo na kuanza kumjadili Mnyika kwanini? au kwasabab huwa anatoa hoja zinazowakosesha raha? waTanzania tumeamka
5 minutes ago · Like · 4
Leonard Mwazembe
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania.kugombea urais,ubunge,udiwani,sifa ni kujua na kuandika.Wenzetu wakenya katika katiba yao mpya imetamka ili kugombea urais ni lazima uwe na shahada pia ugavana ni katiba hata kama utahamasisha maandamano kutoka mombasa hadi kisumu kama huna digee unakosa sifa japo haki unayo.mfano kuna mama anaitwa Magret Wanjiru alitaka kugombea ugavana Nairobi ameenguliwa alikuwa na vyeti vinavyoosh amesoma kwa ngazi ya udaktari elimu ya Dini ya kikristo lakini akaenguliwa na tume ya Uchaguzi baada vyeti vyake alivyopata USA kukosa sifa Kenya.lakin hapa kwetu kwa mtu kuwa mbunge alafu unahoji elimu yake maana yake nini wakati katiba imemaliza awe na sifa ya kujua kuandika na kusoma.Bunge letu linaendeshwa kwa lugha ya Kiswahili japo kuwa miswaada inaletwa kwa lugha ya kiingereza lakini wachangia wanalazimishwa kuchangia kwa kiswahi.Pengine katiba ijayo itatamka kiwango cha elimu ili kugombea urais,ubunge na udiwani.Sijui kama itatambua majimbo pengine tukawa na magavana na senator
4 minutes ago · Like
Titus Sawe
ridhiwani umechemka
3 minutes ago · Like
Write a comment...

Last edited by a moderator: