Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.
Uaminifu kwa jamii maana hata kwenye website ya bunge hapajaandikwa kitu kinachohusu elimu yake.

Kwani elimu ni siri?

Elimu yake kutokana na vitu anavyovifanya nahis atakuwa na PHD holder.Sio PHD ya VYETI , ni PHD ambayo ina innovatives . Sio kama ile ya Kashilila
 
Kwa hiyo Ridhiwani anasema nini? Hakuna watu wenye uwezo bila degree kina Bill Gates na Lula Da Silva?

Ridhiwani anaelewa tofauti ya elimu na elimu rasmi? Na kwamba kupata cheti si kuelimika? Kuelimika kunapimwa na kazi.

Ongezea Winston Churchill.

Independent and rebellious by nature, Churchill generally had a poor academic record in school, for which he was punished

After Churchill left Harrow in 1893, he applied to attend the Royal Military College, Sandhurst. He tried three times before passing the entrance exam; he applied for cavalry rather than infantry because the grade requirement was lower and did not require him to learn mathematics, which he disliked.


You can throw in John Major in there too.
 
rkikwete.jpg


Sasa sijaelewa kwa yeye kudisplay alivyonavyo mezani ndio kudhibitisha kuwa kaenda shule au, maana sijajua record yake mpaka sasa ametetea kesi ngapi na kashinda ngapi na kashidwa ngapi maana hapo ndiyo utajua umahiri wake au ndiyo ile hali ya kubebwa bebwa tu.
 
teh...me nadhan hoja zao zingekua na mashiko endapo wangesema amefoji elimu yake...pia wameshakagua elimu za wabunge wao wa ccm wote mpaka wahamie cdm?au ndo umbea....
 
CV ya Mnyika ni Utendaji wake bbungeni.Nenda kwenye Website ya Bunge uangalie list ya wabunge Bora.CV ni perfomance.

Mambo mengine sijui ni ushamba ama ni kitu gani

Ujue sometimes we have to clear the smoke hata Obama alipoandamwa kuwa si raia wa marekani aliamua kuja yeye kama yeye ana kuonyesha original certificate of birth, in the same manner we kindly ask Hon. J J Mnyika to come up with solid evidence even original certificate I'm sure he will cease them. MNYIKA ITS HIGH TIME TO CLEAR THE SMOKE
 
Wakati mwingine tusipoteze muda kudiscuss issues ambazo hazina kichwa wala miguu. Kama kuna mtu ana wasiwasi wa elimu ya makaratasi ya Mnyika aende mahakamani, kwa nini hakuunganisha swala hilo na Hawa Ng'umbi wakati aliopopinga ubunge wa Mnyika? Sasa haya ni majungu komeni kabisaa kutupotezea muda kwa kuleta thread kam hii
 
jamani mi naomba kujua elimu ya huyu Dr kashilila aliyesema bunge lisionyweshe LIVe, kauli na matendo ndio yanaleta wasiwasi kwenye elimu

kama mtu una akili timamu kwa kazi na hoja anazotoa Mnyika sina shaka na elimu yake
 
CV ya Mnyika ni Utendaji wake bbungeni.Nenda kwenye Website ya Bunge uangalie list ya wabunge Bora.CV ni perfomance.

Mambo mengine sijui ni ushamba ama ni kitu gani



Wewe naye hamnazo,na kila sku nakueleza wewe hamnazo,na huo ndo ukweli,upstairs ni mtupu sana,ni kubabaisha baisha na viingereza vyenu vya shule za kuforce kulingana na mazingira mliyozaliwa,otherwise wewe hakuna kitu!!!Jibu hoja ndugu yangu,Mwenzako Mnyika upstairs yuko ok sana,kwa sisi tunaomjua and we used to compete with him at lower schools!!!!!Sisi wewe kurukia rukia tu na kujifanya mjuaji!!!Tulia Ben,usiforce mambo though kwa nchi yetu usishangae sku moja na we mzito sana mahali,ndo maana wengine hii nchi ni zaid ya kituko,wewe,wakina Nape,hata level ya familia tu kuimanage ni kazi zaid ya kucopy na kupaste kutoka kwingine,tulieni muwe na heshima kwa watu wenye akili zao,ukijibu jibu kiufasaha sio kuzunguka zunguka,unaonekana kabisa bogus!!!Tetea kwa kusema elimu yake ni kiwango hichi,then but .......................................tutakuelewa.
 
Tusibishane mambo madogomadogo kama haya ya elimu. Mnyika kama anayoelimu inayobishaniwa hapo si aweke maganda yake hapa. Nakumbuka Marekani kulikuwa ubishano mkali juu ya uraia wa Rais Baraka Obama, akaweka vyeti vyake vya kuzaliwa kwenye mtandao. Huo ndio ukawa mwisho wa ubishi. Amwage hapa Mnyika na kama han , aseme wazi YANINI MALUMBANO/
Aliyesomeshwa na CCM na kutumia nguvu kubwa ya ubalozi wa Tanzania India kupata Admission Acharya university-Bangalore,India ana Termerity ya kuhoji elimu ya Mnyika?


Na huyu mwingine aliyedandia akiambiwa alete Tasnifu(thesis) yake ya shada ya uzamili kwenye sheria LLM kule hulls university ataleta? Mnyika hajawahi kuwa na taaluma Fake kama huko CCM ambako mtu yeyote anaweza kujiita professa (mganga wa kienyeji na mfuga majini) au Doctor kisha baadae anarudi kusoma shule kuusomea udaktari ambao ameshajipa title.TCU imeshathibitisha makada wengi wa CCM wenye shahada fake

-Hebu turudi katika hoja za msingi na sio story za kutunga za vijiweni.Katibu wa itikadi na uenezi anaongea trivial issues?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom