Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Hata B.a.s.h.e na R.a.g.e si wanakaa Tabora? Umeona kama wana michango yoyote kwenye maendeleo ya taifa hili? Hebu angalia majina: B.A.S.H.E., .B.A.D.E. & R.A.G.E.
 
Kwa uteuzi wa serikali hii mimi namtilia mashaka kama kweli ana uwezo....ngoja nisubiri kuona kazi zake kwanza
 
Mkuu Kahtaan,

Nakusoma mipini yako humu,na lazim nikiri yakua unanivunja mbavu mno kwa kicheko!? Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Huyo Kadoda11...asikushughulishe mno! Ndo dasturi yake hiyo kujifanza hodari wa kubadilika rangi kama kinyonga...kutegemea na topic/thread inazungumzia nini!?

Pana wakti alidai pia yakua Babu yake ni "Mnubi Muislam" na alikua ati ndo muanzilishi wa TANU!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Sasa,yeye Kadoda11 anadai yakua Babu yake wa Kinubi ni "Muislam"!!?..khalaf yeye ame-specialize katika kuwachafua Waislam humu mitandaoni kila kukacha!?...yaani anaamua kumtukana hata Babu yake "Mnubi Muislam"!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh! Akili za ki-Chadema bana!

Tuko pamoja Kaka!

Ahsanta.

mbona msomali system haikumshaur mkulu.. ?hawajui kenya hawa wasomali walio ndani ya serkali ndio wameifanya nchi ya kenya kutotulia cz wanatoa siri kila sku taasisi nyeti kama Tra haikutakiwa kupewa msomali bt tunajua mzee wa kaya na ktlya haziivi wale znazoiva wanaendelea kupewa mikataba kama wale wa zle kofia
 
Liko jingine na mengine ya namna hii pia...nakumbuka siku anateuliwa kushika nafasi aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi huu, nilikuwa pale Rose Garden, itoshe kusema nilisikia mengi kuhusu doubting Thomasos...sasa kama ni kweli au la, subject to facts and time.
Tumaini Makene

Visa vyenu chadema mlivyonavyo dhidi ya uislam basi msivipeleke kila mahali.

Huyu kijana wetu ni mchapa kazi hodari na thats why kastahili post kama hiyo,huyu sio zitto kabwe ambae mmezoea kumpiga majungu kwenye hiyo saccos yenu.

Acheni kupalilia udini jengeni hiyo sacoss iwe imara zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Chuki zenu acheni muulozeni aliekuepo oficini utendaji wakee

apti piga kazi tuuu

Wewe ni mzalendo kuliko wanavyofikiriaaa
 
Mi mchagga ndio. Am not afraid to admit that...😛hoto: i hate ukabila.
:scared: wachaga wanaogopwa sana siku hizi. Utadhani wa-israel. Kwenye Ardhi ya Wapalestina

Na sababu kubwa ni kuwa wamesambaa km cancer!

siku hizi hata wazigua ni mafundi viatu! Kwa hivyo wachaga soko lao limepungua mijini!

Mi nashauri Wachaga warudi tu makwao!

Wanatuchafulia mazingira mijini na
Na wewe hushangai ikifika Christmas ujambazi pia unapungua mijini?
Sasa jiulize mwenyewe! Ni kwa nini!
 
Nimependa Sana CV ya kamishna, ana experience nzuri Sana ya private sector.

Chonde chonde simamia matumizi ya EFDs na pia elimisha watanzania wapende kulipa kodi, wakwepa kodi wako kuanzia serikali kuu hadi kijijini.

Pia digitali ndio yenyewe Bw Bade, nani anataka kuja kupanga foleni hapo kwa staff wako wala rushwa? Tufanye tulipe kodi zote at our finger tips,,, update mtandao wa TRA uko down kila siku. Transparency ndo kila kitu boss mpya, iweke karibu nawe

Kazi njema, nchi Ni yetu sote adui ni CCM tu, watataka kuja kuchota hela hapo, usikaribishe huo ukoo wa Panya.
 
mbona msomali system haikumshaur mkulu.. ?hawajui kenya hawa wasomali walio ndani ya serkali ndio wameifanya nchi ya kenya kutotulia cz wanatoa siri kila sku taasisi nyeti kama Tra haikutakiwa kupewa msomali bt tunajua mzee wa kaya na ktlya haziivi wale znazoiva wanaendelea kupewa mikataba kama wale wa zle kofia

Mkuu,

Rished Bade sio Msomali na walaa hana asili ya kisomali,asilan!

Yeye ana asili ya mkoa wa Arusha, na pia ni mzalendo alokubuhu kwa nchi/taifa lake! Rished pia ni mtoto wa mjini saana tu pale D'salaam!

Kwa kifupi,nakhis hayo yanakutosha,au!?

Sisi wangine hatuna wakti wa kushinda mitandaoni na kutupiana fitna,unafiki na majungu!

Mzalendo Rished wee piga kazi tu!...achana na vilaza!

Ahsanta sana!
 
TRA kutamu, ukiingia elimu na weledi unauweka kando kwanza, muda si mrefu huyo mtt ataingia kwenye jarida la mabilionea la forbes tumpe muda mutaona kama alichemka baclays ataweza huku???
 
Na sababu kubwa ni kuwa wamesambaa km cancer!

siku hizi hata wazigua ni mafundi viatu! Kwa hivyo wachaga soko lao limepungua mijini!

Mi nashauri Wachaga warudi tu makwao!

Wanatuchafulia mazingira mijini na
Na wewe hushangai ikifika Christmas ujambazi pia unapungua mijini?
Sasa jiulize mwenyewe! Ni kwa nini!
..Taja kabila lako..
I'M Proud to be CHAGGA mark my words
​
 
Huyu mwandishi msaidizi Ikulu wala haambiliki... tulishaandika sana na kwa bahati mbaya tulikuwa tuna "generalize" ila uchunguzi unaonesha taarifa anazozitoa yeye ndiyo zenye matatizo: hakuna caption, makosa ya spelling kibao, tarehe zinawekwa chini, heading zote ni "taarifa kwa vyombo vya habari" etc. Salva, mrudishe kijana shule, anakuangusha.



New+Picture+(5).bmp

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished BADE kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, uteulzi huu umaanza tarehe 06 Mei, 2014. Bwana BADE anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Harry KITILYA ambaye alistaafu tarehe 14 Desemba,2013.
Kabla ya uteuzi huo, Bwana BADE alikuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania tangu Septemba,2012 na baadaye kukaimu nafasi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania tangia Bwana Kitilya alipostaafu.

Kabla ya kujiunga na Mamlaka ya Mapato Tanzania, Bwana Rished BADE amewahi kufanya kazi katika maeneo mbalimbali yaliyompa ujuzi na weledi mkubwa kwenye mambo ya fedha na mapato kama ifuatavyo:-

 Oktoba, 1995 – Mei, 2000 – Mkaguzi wa Benki za Biashara, Benki Kuu ya Tanzania.
 Juni, 2000 – Juni, 2001 – Credit Manager, Akiba Commercial Bank.
 Juni, 2001 – Septemba,2001 – Chief Financial Officer, Akiba Banking Corporation.
 Septemba, 2001 – Machi, 2006 – Chief Operating Oficer, Barclays Bank (Uganda).

 Januari, 2007 – Desemba, 2009 – Chief Executive Officer, Barclays Bank (Tanzania)
 Desemba, 2009 – 2012 – Chief Financial Officer, (East and West Africa Cluster) Barclays Bank Plc Emerging Markets.
 Novemba, 2010 – Septemba, 2012 – Chief Executive Officer, Tanzania Mortgage Refinance Company.

Bwana Rished BADE ana Shahada ya Kwanza ya Bachelor of Commerce and Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1995); Shahada ya Master of Commerce in Banking and Finance ya Chuo Kikuu cha Sydney (1999), na ni Certified Public Accountant (CPA).

Katika kumteua kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mheshimiwa Rais ana imani kubwa kwa elimu, uzoefu na weledi alionao, Bwana Rished Bade kwa kushirikiana na watumishi wenzake, atatoa mchango mkubwa kwa Taifa kwa kuzidi kuimarisha Mamlaka hiyo na kuboresha utendaji wake na hivyo kuongeza mapato ya Serikali kwa faida ya Taifa.

“Mwisho”
Imetolewa na:

Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu - Dar es Salaam.
08 Mei, 2014

Maoni binafsi: Mwandishi ajaribu kuangalia upya uandishi na matumizi ya lugha katika Habari kutoka Ikulu.Kwa mfano,hakuna Shahada ya Bachelor of..........
 
Mi mchagga ndio. Am not afraid to admit that...😛hoto: i hate ukabila.
:scared: wachaga wanaogopwa sana siku hizi. Utadhani wa-israel. Kwenye Ardhi ya Wapalestina

Wachaga wanaogopwa sana kwa vile wao ndo wanaongoza kwa ubaguzi.. Nenda shirika au taasisi yoyote inayoongozwa na mchagga kama hujakuta huko wamejaa akina shoo,mosha,masawe,mrema n.k..sasa siku hizi watu wanawatupa kulee ndio wanajitia kusema wanachukiwa kama waisrael.mnalo hilo jombaaa!
 
Wachaga wanaogopwa sana kwa vile wao ndo wanaongoza kwa ubaguzi.. Nenda shirika au taasisi yoyote inayoongozwa na mchagga kama hujakuta huko wamejaa akina shoo,mosha,masawe,mrema n.k..sasa siku hizi watu wanawatupa kulee ndio wanajitia kusema wanachukiwa kama waisrael.mnalo hilo jombaaa!

Nashangaa unasema taasisi zinachukuliwa na wachagga mbona badala ya kusema zinachukuliwa na wasomi.
Tatizo shule ndogo,na makabila mengi ni uchawi na kucheza ngoma..japo hujataja kabila lako lakini ukitaja utajua tu hulka zenu zilivyo tangu enzi. wachagga sio wachungang'ombe, kama wamasaiwala wacheza ngoma za kienyeji.

"nyerere aliwahi kusema ukitaka kujua jamii ni masikini ni kwa vile inavyowaza ushirikina".
makabila mengi ya Tized yalikumbatia mila za kishirikina kwa namna fulani wakadumaa.

Kilimanjaro ilikuwa na shule nyingi tangu historia kuliko mkoa wowote Tanzania, hii inamaana kuwa walikuwa wasomi siku nyingi - walijali elimu, Pia walikuwa wanajitawala kama nchi wakiwa na Rais wao na mangi wa wachagga, na nchi yao, kabla ya nyerere hajaichukua na kuifanya sehemu ya Tanganyika. hata nyerere aliwahi kulalamikiwa kuwa anawapendelea akasema wanavigezo, japo alijitahidi kuwabania wachagga sana tu ili makabila mengine yaweze kusoma.Ndio maana ninao ndugu wengi wanalalamika nyerere aliwabania, walipokosa kujiendeleza kielimu, walikimbilia Kenya kusoma wakarudi wasomi.wengine walihamia mikoani ili waweze kufaulu.

Ni kama case ya wahaya.. walivyosoma lakini watu wanawalalamikia mara wanajisikia. Frankly speaking.Ukisoma unajiamini zaidi kwakuwa unajua.Na asiyesoma atalalamika kuwa unajisifu. au vipi.

pia allegation zako ni hazina msingi wa kutosha kwakuwa wachagga ni wafanya biashara pia, sio wote wanategemea serikali.
Ni aibu kwa watu karne ya 21 watizedi wanaendekeza ukabila na wanapopewa nchi hawajiamini wanaiuza kwa waarabu, wahindi na wazungu. tumekuwa na mzanzibari, mmakonde na ------ tumeshuhudia wasivyojiamini.
Nyerere tu ndio alikuwa na guts. Itakuaje Tanzania akitokea Mchagga rais.
Pia kuna watu hapa wanawapondea wachagga kwamadai kuwa wengi ni wakristo wanakula kitimoto.
 
uwezi amini sikuwa natarajia kukoment hapa looh mawazo haya yaani nilisoma post nyingine nikaja kikoment nyingine
NIMEPATA CRASH NA POST LOL

hakuwepo enzi hizo, umempeleka kwenye umri negative.
 
We unajiita kahtaan sijui, kwani kudoubt ajabu?... Hayo ni maoni yangu kuwa miaka aliyokaa hiyo bank ndo miaka ambayo hiyo bank ilifanya vibaya na kuibiwa pesa nyingi na kufungwa branch zao kumi, na staff wengi walioharibu waliacha na wengine kupunguzwa... Ajabu nini nawewe doubt yako.

Mbona mnawashutumu mafisadi mnaushaidi na pesa zao huko Uswiss? Wewe kama wewe ulishawah kuaccess account zao huko..

Pole sana, unachotakiwa kujua humu JF kuna watu ambao wamejikita kwenye udini.
Wapo wanaoamini kwamba mtu akiwa muislam ni safi, hata kama amevurunda kiasi gani.
Vilevile wapo wa-Kristo ambao kwao kila m-Kristo ni safi haijalishi amevurunda kiasi gani.

Wapo pia watu ambao mnaweza kujadiliana hoja kwa nia ya kujenga.

Ufumbuzi ni wewe kuwasoma watu wa JF na kujua wepi wapo kwenye kundi lipi.
 
Back
Top Bottom