Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

We kweli kichwa chako kinazunguka kama Magurudumu na ndio maana unafikiri kwa kutumia maka.lio!

Siku nyengine ficha upumbuvu wako kwa kuwacha kuandika uharo!

Du lugha kali hii mkuu!!! Huwa mara nyingi hazitakiwi tu hapa. Kuna rules za JF sijui ulishazipitia? Kila member ana uhuru wa mawazo yake hapa ila kama huyataki basi unapotezea au ukijibu iwe kwa polite language!!! Si rahisi kila member ukubaliane naye kwa kuwa kila mmoja ana fikra zake. Ni mtizamo wangu tu.
 
Mimi bado natafakari, sioni, ngoje tuone tutakuja kukumbushana baadae kidogo
 
RAIS KIKWETE ATEUA KAMISHNA MPYA TRA





JK+3.jpg

Rais Jakaya Kikwete amemteua Rished Bade kuwa Kamishna mpya wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Harry Kitilya aliyestaafu kazi akiwa katika nafasi hiyo, mwaka jana, Ikulu imesema leo
 
Wewe ni punguwani.

Hivi unajua DR Rashid alitoka BOT lini?

Hivi unajua Balali aliingia lini?

Hivi unajua Rished alitoka BOT lini na kwenda Akiba?

Unajua wizi wa EPA ulitokea kuanzia kipindi gani?

Unajua kwanini Mkapa alimtoa Dr Rashidi akamleta Ballali aliyekuwa mshauri wake pale Ikulu?

Hebu usitake tufunguke hapa...

Dr Maundumula wachana na hao wasaka tonge!

Wasikushughulishe hao wendawazimu!
 
Last edited by a moderator:
Salute to all JF Great Thinkers..

Naamini waheshimiwa wengi tu wanakuja kuchungulia hapa JF na kujua yanayojiri ndani ya jamii.

Taarifa iliyopo ni kuwa TRA wamepata boss mpya, pasi na kujali elimu na ujuzi alionao, kamwe hawezi kujua kero zote zinazowakabili walipa kodi..ikiwezekana tumpe inputs,kero,ushauri ili kama ataweza kuzitafutia ufumbuzi well and good, kama hataweza basi ajue kuwa zipo na zinakera...huwezi kujua, kila mtu ana style ya utendaji kazi wake, wengine wanapenda ushauri na kuzifanyia kazi na wengine hawaambilikiz, jukumu letu ni kupiga mayowe tunapohisi the game is not fair..

1. Nimeona watu wengi humu wanalalamikia sana ushuru wa ku import gari nchini uko juu sana.
2. Andaa njia rahisi ya watu kulipa kodi,ushuru i.e online payments kadiri iwezekanavyo kuokoa muda na usumbufu wa kutoa rushwa..watu hawapendi kwenda TRA offices kukwepa usumbufu wa kubambikiziwa unfair taxes.etc
3. Annual motor vehicle licence fees inatuua Mr. Bade (you can not enrich poor people by making rich people poor - Ex U.S President A. Lincoln)
4. Viwango vya kodi na ushuru viwe reasonable na realistic ili zisiforce watu kukwepa kulipa that leads to tax evasion..fair taxes encourage taxpayers to pay voluntarily.
5. Tengenezeni website/blog yenu watu wapost complains zao humo.

Nawapisha wadau wengine muongeze hapo, nitarudi tena.

However, tunakutakia kila la heri Mr Bade..
 
SAWA

ofisi tunayo sisi sasa wavaa vipedo kama inakuuma jinyonge basi.

Nssf kuna Alhaj Ramadhani Dau Mvaa vipedo na mambo yanakwenda muruwa kabisa.

Na huku TRA sasa tuna mvaa vipedo mwingine mtatuambia nini?

Si mnasema wavaa vipedo hatuna shule??haya semeni na sasa tuskie..!!

Message Sent and Delivered!
 
Kama ni raia mwema :- The TRA Boss awape wafanyakazi wake FORMU ya kujieleza utajiri/mali/majengo walionao waliupatajee?!!!!!!? hapo ndipo tutafika.
 
Awaongezee mishahara na marupurupu mengine, kama vile mikopo ya nyumba na magari, bila riba, kama ilivyo kwa BOT na NHIF, ili kuwapunguzia vishawishi vya kuokota okota... !
 
Aandae mfumo bora zaidi ambapo kila mwananchi atalipa kodi inayokidhi , ushuru wa magari nchini bado ni tatizo kubwa kwani ushuru ni wa kiwango cha juu sana kulinganisha na mataifa mengine, aangalie maafisa wake mipakani kwani wanawambakia wajasiliamali kodi kubwa au saa nyingine wanakusanya rushwa kitu ambacho sio halali kabisa kwa mfano MUTUKULA na boda nyingine
 
ninamashaka na utendaji wake kwani alikuwa CEO wakati Barclays bank(Tanzania) inapata hasara ya bilioni 8 iliyotokana na mikopo hewa.

Hakuna kitu hapo ni ufisadi kwa kwenda mbele; alikuwa CEO wa Barclays Bank wakati walipotoa mkopo wa kununua RADAR kwa bei ya kuruka na nduguye Idris Rashid akiwa BOT gavana!!!
 
Hii siyo post ya kisiasa, ndio roho ya kuendesha uchumi wa Nchi. Tunategemea mawazo yenye Tija na kumjulisha nini mategemeo yetu.
 
Hii siyo post ya kisiasa, ndio roho ya kuendesha uchumi wa Nchi. Tunategemea mawazo yenye Tija na kumjulisha nini mategemeo yetu.

Watanzania wameshalewa siasa ndugu yangu.

Uje uwaambie hapo jinsi ya kuisaidia TRA kukusanya zaidi hawakuelewi
 
Back
Top Bottom