Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

sawali la kizushi :vp kuhusu ile " status quo " ya uchagga pale TRA after BADE kuwa kamishna mkuu?.

NB :mimi sio mchaga,ila nimeuliza tu.

Kadoda usijitetee. Mbona huko nyuma ulikubali kuwa wewe mchaga!?.pamoja na yule pangu pakavu 2013?
 
Last edited by a moderator:
Bade ni mtu wa mkoa gani?

Mkuu mbona unaleta masuali ya kibaguzi!?

Mambo ya Mtanzania kuteuliwa au kuajiriwa na serikali yake,yanahusiana vipi na kabila lake!?...au mkoa/kanda alotoka!? Daah!

Ahsanta.
 
Kadoda usijitetee. Mbona huko nyuma ulikubali kuwa wewe mchaga!?.pamoja na yule pangu pakavu 2013?

Mkuu Kahtaan,

Nakusoma mipini yako humu,na lazim nikiri yakua unanivunja mbavu mno kwa kicheko!? Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Huyo Kadoda11...asikushughulishe mno! Ndo dasturi yake hiyo kujifanza hodari wa kubadilika rangi kama kinyonga...kutegemea na topic/thread inazungumzia nini!?

Pana wakti alidai pia yakua Babu yake ni "Mnubi Muislam" na alikua ati ndo muanzilishi wa TANU!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Sasa,yeye Kadoda11 anadai yakua Babu yake wa Kinubi ni "Muislam"!!?..khalaf yeye ame-specialize katika kuwachafua Waislam humu mitandaoni kila kukacha!?...yaani anaamua kumtukana hata Babu yake "Mnubi Muislam"!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh! Akili za ki-Chadema bana!

Tuko pamoja Kaka!

Ahsanta.
 
Last edited by a moderator:
Kadoda usijitetee. Mbona huko nyuma ulikubali kuwa wewe mchaga!?.pamoja na yule pangu pakavu 2013?

Mi mchagga ndio. Am not afraid to admit that...😛hoto: i hate ukabila.
:scared: wachaga wanaogopwa sana siku hizi. Utadhani wa-israel. Kwenye Ardhi ya Wapalestina
 
Afadhali mwaka huu haja kaa wale wa Kaskazini kina NDESHAFOO

Hii thread/taarifa akiiona yule...hate preacher, mlemavu wa fikra, mchaga mchovu wa maisha toka Kiboroloni aka Nicholas!...nina hakika lazim atapoteza fahamu na kuzimia kwa hasira!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Pole zao saaan! Huu ndo mwanzo tu wa fagio la chuma!

Ahsanta.
 
wazee wa kazi wasije wakamtengeneza tu.
 
Kwahiyo wewe huoni DOTS hapo?

Nyinyi mbona mnapenda unafiki na kutumia assumptions!? Daah!

Hizo "dots" unazodai ziwapi!?

Mwacheni kijana makini na Mzalendo Rished Bade apige mzigo!

Kuna mashirika kadhaa makubwa na nyeti ya umma...yananuka kinyesi cha rushwa! Kama nyinyi kweli mna uchungu na nchi hiyo...basi anzisheni topics/thread/s za kuwazungumzia hao watendaji wa huko kwanza,au!?

Ahsanta.
 
Juzi nilienda tra mwenge kuomba karatasi ya tin tu dah hayo maswali niliyopigwa na mama mmoja anaonekana mnoko mnoko tu kwanza akaniambia wapo busy nirudi kesho ila nikabembekeza nikaambiwa nitoe hela nikaaambiwa nisubiri kidogo kuna kodi nadaiwa nifanyiwe hesabu na mwenzie ambae akaitwa akasema nina kazi nyingi kama ni msaada , yeye yupo busy na hanifahamu kwahiyo hawezi kunisaidia nikapata hiyo karatasi yangu ya tin nikasema ---- off, hakafu hawa ndiyo wanasema wanahitaji tulipe kodi na mazingira yenyewe ndiyo haya, I feel ashamed kuzaliwa kwenye nchi hii

Haya masahibu ya hivi yalinipata Kibaha TRA lakini mwisho wa siku nikasaidiwa Dsm
 
The man who deserved this appointment is the late Walid Juma!! I hope you all remember walid!! Bade not a bad option either.
 
We need to start everything afresh...at the moment we have very few incorruptible. The rest...majority of us approach things with "the business as usual" attitude. Lakini nyoka hata awe mkubwa kiasi gani akikatwa kichwa ndio kwisha habari yake...naona mtu wa juu kabisa lazima aonyeshe kwa mfano...wengine watatii tu. Ndio maana Nyerere watu wanapenda kusema alikuwa dictotor maana yeye hakuwa na maneno tu halafu anakaa kimya...alikuwa anaonyesha kwa vitendo. Wengi hawakumfuata kwa mapenzi bali walilazimika kufanya hivyo ili wabakie kwenye system....

Good kwa hiyo ila habari ya "kujifunza kwa makosa" ilitokana na nini?????!!!!!!

Kama unajua kuwa suluhu ya kudumu ni kuondoa system??!!
 
Afadhali, tutapata maendeleo sana, ni kijana mahiri,nimefanya nae kazi standard Chartered. Ila akumbuke TARA haina dini. Isijeikawa kama NSSF inayoajiri kwa misingi ya mrengo wa kushoto.

Afadhali, tutapata maendeleo sana, ni kijana mahiri,nimefanya nae kazi standard Chartered. Ila akumbuke TARA haina dini. Isijeikawa kama NSSF inayoajiri kwa misingi ya mrengo wa kushoto.

Kwahiyo unataka kuniambia kuwa jamaa ni mdini au
 
Afadhali, tutapata maendeleo sana, ni kijana mahiri,nimefanya nae kazi standard Chartered. Ila akumbuke TARA haina dini. Isijeikawa kama NSSF inayoajiri kwa misingi ya mrengo wa kushoto.
standard charterd????????????? wacho uongo wewe
 
sawali la kizushi :vp kuhusu ile " status quo " ya uchagga pale TRA after BADE kuwa kamishna mkuu?.

NB :mimi sio mchaga,ila nimeuliza tu.
Mbona unajihami mapema.
 
Nyinyi mbona mnapenda unafiki na kutumia assumptions!? Daah!

Hizo "dots" unazodai ziwapi!?

Mwacheni kijana makini na Mzalendo Rished Bade apige mzigo!

Kuna mashirika kadhaa makubwa na nyeti ya umma...yananuka kinyesi cha rushwa! Kama nyinyi kweli mna uchungu na nchi hiyo...basi anzisheni topics/thread/s za kuwazungumzia hao watendaji wa huko kwanza,au!?

Ahsanta.
Mkuu Gs-300

Huyo Kibanga wala asikuumize kichwa uwa namsoma humu JF akijinasibisha na Uislam leo tena ndiyo wa kwanza kumshambulia ndugu yetu Bade kutokana dini yake.
 
Last edited by a moderator:
Ndg zangu NCH hii kwa sasa haina uhaba wa wenye ELIMU km NCH tuna uHABA wa watu waAMINIFU...! NCH hii imekwama 7bu ya hao watu wanaopenda kujiita wasomi....! Miaka ya zamani wasomi walikuwa wachache bt TIJA ilikuwepo 7bu walikuwa waamifu (Namaanisha Uaminifu C uzalendo cz mtu akiiba hazitupi PESA anaboresha Familia yake so huyo ni Mzalendo kwenye Familia yake) Kwahiyo leo hii nikimuona GOLO mwenzangu hata awe na 10page za CV MOYO wangu haushtuki nnachotaka kuona Perfomance...! BASI mengine ni miKOGO tu...
 
Afadhali, tutapata maendeleo sana, ni kijana mahiri,nimefanya nae kazi standard Chartered. Ila akumbuke TARA haina dini. Isijeikawa kama NSSF inayoajiri kwa misingi ya mrengo wa kushoto.

Wewe punguani Bade hajawahi kufanya kazi hiyo benki uliyoitaja.
 
Back
Top Bottom