Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Upele umepata mkunaji,Huku ndiko Rished alikotokea,si vibaya tukajikumbusha kidogo..

Barclays Bank Tanzania today announced the appointment of Rished Bade as the bank's managing director. Rished rejoins the Tanzania team after spending one and half years on secondment to Barclay Bank Uganda where he fulfilled the role of Chief Operating Officer.
His tenure with Barclays commenced some five years ago when he joined Barclays Tanzania as Financial Controller and later as Financial Director.
Commenting on his appointment Bade said, "I am excited to join the Barclays Bank Tanzania team and look forward to building on Barclays strong reputation."
Bade's leadership philosophy is driven by a belief in providing an example for his staff to follow; he combines passion for his work with energy and enthusiasm.
Dominic Bruynseels, Chief Executive Officer of Barclays Bank sub-Saharan Africa and Indian Ocean, said, "In Barclays, we believe in growing local talent across our Africa business and Rished's appointment bears testimony to our commitment to developing our employees.

Rished will be the first Tanzanian to lead Barclays operations in Tanzania. We are delighted to have him lead our team in Tanzania."
 
Tunachotaka utendaji c kuwa na elimu nzr!!!! wako wengi wenye elimu nzuri lkn maboya tu kiutendaji!!!! twende kazini bade
 
Good kwa hiyo ila habari ya "kujifunza kwa makosa" ilitokana na nini?????!!!!!!

Kama unajua kuwa suluhu ya kudumu ni kuondoa system??!!

Kwa hali ilivyo sasa hakuna la ajabu ninalotegemea. Najipa moyo tu labda tunajifunza kutokana na makosa! Ila sikubaliani na hoja kwa wasomi au wataalamu ndio wanaokosekana kwenye idara na taasisi za nchi yetu. Tuna mpaka watu wenye Phd wanaofanya mambo ambayo hata darasa la saba hawathubutu kufanya. Na naogopa sana watu wanaojipigia debe kwamba wanastahili kupewa hizo nafasi. Wengi ni waana siasa kuliko wabunifu na watendaji!
 
Hongera Bade,
Jamaa nakumbuka hata shule alikuwa vizuri, O'Level alipata Div One ya 7 points. Sielewi performance yake kazini as shule na utendaje ni vitu viwili tofauti.
 
Mkuu Ngatele performance ya jamaa imewekwa ya kutosha kwenye huu uzi unless hujausoma vzr na just for info habari zilizoko humu khs performance ya jamaa nyingi za ukweli. Kifupi ni kwamba hizo points 7 za O level zilibadilika kuwa division 0 alipokuwa MD Barclays na bado magogoni ndio wameona ni mtu sahihi kuongoza mfumo wa damu wa uchumi wa nchi hii.

Moja ya vitu vigumu sana kwangu kuvielewa kwenye awamu hii ya uongozi ni vigezo vinavyotumika kuteua viongozi. Ni shida kwa kweli kuweza kung'amua ni nini hasa mkuu wa nchi huwa anaangalia kwa wale anaowateua, im sure ni yeye peke yake ndio anaweza kueleza hakuna mwingine.
 
kesho amtaanza hapa kujambajamba na mfumo kristo, pesa yote atakayokusanya inapelekwa kwa kafir benno ndulu halafu pengo ndio anapanga bajeti.

Kafir pengo zama zake zilikwisha tokea enz za mkapa wewe kafiri.

Alipokuja mvaa vipedo JK kamaliza moja kwa moja hii kasumba yenu.

Ina uma ee??
 
Mkuu Ngatele performance ya jamaa imewekwa ya kutosha kwenye huu uzi unless hujausoma vzr na just for info habari zilizoko humu khs performance ya jamaa nyingi za ukweli. Kifupi ni kwamba hizo points 7 za O level zilibadilika kuwa division 0 alipokuwa MD Barclays na bado magogoni ndio wameona ni mtu sahihi kuongoza mfumo wa damu wa uchumi wa nchi hii.

Moja ya vitu vigumu sana kwangu kuvielewa kwenye awamu hii ya uongozi ni vigezo vinavyotumika kuteua viongozi. Ni shida kwa kweli kuweza kung'amua ni nini hasa mkuu wa nchi huwa anaangalia kwa wale anaowateua, im sure ni yeye peke yake ndio anaweza kueleza hakuna mwingine.

Sasa kama aliweza kuwa kaimu wa KITILYA na mambo yakawa safi tu atashindwa vipi kushikia mikoba hiyo??

Mfumo kristo unamalizwa zama hizi mtake msitake.
 
Huu udini mnaouchochea kirahisirahisi hivi madhara yake kwenu wenyewe pia mtashindwa kuyazuia. Hakuna nilipotaja dini ya mtu kwenye comment yangu cha ajabu umeona tayari mm ni mkristo. Sidhani kama utendaji wa mtu kikazi unapimwa kwa dini aliyomo. Au ndio unanisaidia kujua kwamba mkuu wa nchi anaangalia dini ya mteule kwani umeconclude kwamba mfumo kristo unamalizwa? Shame on you!
 
Wasiwasi wangu wanaJF ni teuzi hizi za maeneo muhimu ya kifedha wakati tunakaribia uchaguzi.
Tukumbushane kidogo, hivi kipindi cha EPA, mteuliwa alikuwa wapi kipindi kile wakati Mkuu anachaguliwa kwa mara ya kwanza? Halafu je Benki aliyokuwa ilihusishwa kwa namna yoyote ile na EPA?
 
Naomba wanaJF anayejisikia kutapika asitapikie humu JF, tafadhali sana!

Mkuu Mpenda Tz labda ungeenda mbele zaidi kwa kushauri wakatapikie wapi. Nijuavyo mm matapishi ni kama maji, kuyazuia peke yake pasipokuyaelekeza njia mpya haisaidii. Pliz pliz badala ya hapa waende kutapikia wapi?
 
Mkuu Gs-300

Huyo Kibanga wala asikuumize kichwa uwa namsoma humu JF akijinasibisha na Uislam leo tena ndiyo wa kwanza kumshambulia ndugu yetu Bade kutokana dini yake.

Ritz, nimekusoma Mkuu!

Shukran saana na tuko pamoja Kaka!

Ahsanta.
 
Huu udini mnaouchochea kirahisirahisi hivi madhara yake kwenu wenyewe pia mtashindwa kuyazuia. Hakuna nilipotaja dini ya mtu kwenye comment yangu cha ajabu umeona tayari mm ni mkristo. Sidhani kama utendaji wa mtu kikazi unapimwa kwa dini aliyomo. Au ndio unanisaidia kujua kwamba mkuu wa nchi anaangalia dini ya mteule kwani umeconclude kwamba mfumo kristo unamalizwa? Shame on you!

Sasa kumbe vipi??

Ramadhani Dau wa nssf mnamuandama kwa nini??

Mnamuita mdini kisa nini kwa kuwa yeye ni muislamu??

Haya sasa mwingine huyo muislamu tunataka kuskia makelele mengine...yale ya dau bado hayatoshi.
 
Huyu Ramadhani Dau wa NSSF lazima tumwandame kazidi na uislam maana hata Clecentius Magoli ni Muislam (aibu yetu).

Hatuna shida na Wiliam Erio maana yeye kajaza WAKRISTO WATUPU, hajachanganya kama Dau.

PPF hatuna Mkurugenzi muislam hata mmoja- hili hatulioni ila Dau ndio mdini (Wakurugenzi 9 wakristo na SIFURI ni Waislam)

PPF kati ya mameneja 20, wawili tu ndio waislam, mmoja makao makuu na mmoja ni wa kanda, bado tunaona Dau ni dini

Hii ina maana, PPF katika viongozi wakuu 29, 27 wakristo na 2 waislam. PPF tulikuwa na Mkurugenzi muislam, tukamtimua kisiasa kwa kuunganisha Idara mbili na yeye kuwa redundant.
 
navyomuona huyu bwana mkubwa si mtaalamu wa kodi, kwamaana hajasomea masuala ya kodi hajawahi kufanyakazi za kodi, huu uzoefu wa mwaka mmoja alioupata kwa kitilya sitegemei mapya.
 
Kwa hali ilivyo sasa hakuna la ajabu ninalotegemea. Najipa moyo tu labda tunajifunza kutokana na makosa! Ila sikubaliani na hoja kwa wasomi au wataalamu ndio wanaokosekana kwenye idara na taasisi za nchi yetu. Tuna mpaka watu wenye Phd wanaofanya mambo ambayo hata darasa la saba hawathubutu kufanya. Na naogopa sana watu wanaojipigia debe kwamba wanastahili kupewa hizo nafasi. Wengi ni waana siasa kuliko wabunifu na watendaji!

Ndahani nimekusoma kaka!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu Ramadhani Dau wa NSSF lazima tumwandame kazidi na uislam maana hata Clecentius Magoli ni Muislam (aibu yetu).

Hatuna shida na Wiliam Erio maana yeye kajaza WAKRISTO WATUPU, hajachanganya kama Dau.

PPF hatuna Mkurugenzi muislam hata mmoja- hili hatulioni ila Dau ndio mdini (Wakurugenzi 9 wakristo na SIFURI ni Waislam)

PPF kati ya mameneja 20, wawili tu ndio waislam, mmoja makao makuu na mmoja ni wa kanda, bado tunaona Dau ni dini

Hii ina maana, PPF katika viongozi wakuu 29, 27 wakristo na 2 waislam. PPF tulikuwa na Mkurugenzi muislam, tukamtimua kisiasa kwa kuunganisha Idara mbili na yeye kuwa redundant.

Umesomeka Kaka!

Shukran saana na tuko pamoja!

Nakutakia usiku mwema.
 
"Huyu Ramadhani Dau wa NSSF lazima tumwandame kazidi na uislam maana hata Clecentius Magoli ni Muislam (aibu yetu).

Hatuna shida na Wiliam Erio maana yeye kajaza WAKRISTO WATUPU, hajachanganya kama Dau.

PPF hatuna Mkurugenzi muislam hata mmoja- hili hatulioni ila Dau ndio mdini (Wakurugenzi 9 wakristo na SIFURI ni Waislam)

PPF kati ya mameneja 20, wawili tu ndio waislam, mmoja makao makuu na mmoja ni wa kanda, bado tunaona Dau ni dini

Hii ina maana, PPF katika viongozi wakuu 29, 27 wakristo na 2 waislam. PPF tulikuwa na Mkurugenzi muislam, tukamtimua kisiasa kwa kuunganisha Idara mbili"

Nimeipenda sana hii tafakuri yako yenye full of facts! We need data siyo bla blaa! Hongera ndugu yangu Gs- 300!
 
Back
Top Bottom