Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Kautafute ukweli kabla ya kuja kudanganya hapa, kama hauujui, kwanza uombe msamaha ili tukupe darsa.

Hii benki ya Baclays Bank managing director wake alikuwa ni Rished Bade ambaye anatoka Arusha na wana undugu na Idrisa Rashid managing director wa Tanesco.Huyu Rashid Bade walikuwa wote benki kuu ya Tanzania wakati Idrisa Rashid akiwa gavana wa Benki kuu.Hivyo kama mikopo ilichukuliwa Baclays twaweza unganisha dots.Pia ile mipesa ya EPA na Richmond iliyopitia CRDB kwa managing director Kimei haikuwa bahati mbaya.Kimei alikuwa ni mkurugenzi benki kuu wakati Idrisa Rashid alipokuwa gavana wa benki kuu.Kwa hiyo Idrisa Rashid,Rished Bade na Kimei wanafahamiana sana tu na kwa karibu wakiwa benki kuu na baada ya kutoka benki kuu inaelekea wameendeleza mtandao fulani wa kuliza nchi.

Kiufupi twaweza kusema unapoongelea ufisadi na connection na benki kuu Rished bade,Idrisa na Kimei wako connected Kiuhalifu unaohusu ndani na nje ya benki kuu kupitia EPA,Richmond,Dowans.Maana mapesa yaliibwa benki kuu yakaenda CRDB mengine yakaibwa kupitia Richmond yakaenda CRDB na mengine yakakopwa Baclays sijui yalienda wapi kama mmiliki anakana kuwa hakukopa labda yalifanyiwa money laundering kupitia benki fulani yakayeyukia kule kunakofanana na wanakoficha pesa akina chenge na wengineo.
New revelation, Dowans
 
I don't kniw what is the source for this story,, but READ the lines yourself and tell me!
Where did it states that the Subject above is RESPONSIBLE FOR THAT LOSS!

Ndio nikasema waropokaji ni wengi mno nchi hii.!

Kwahiyo wewe huoni DOTS hapo?
 
Tuliambiwa hivyo hivyo, Mwigimwa alipochukua wizara ya fedha, he is next
 
New+Picture+(5).bmp

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished BADE kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, uteulzi huu umaanza tarehe 06 Mei, 2014. Bwana BADE anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Harry KITILYA ambaye alistaafu tarehe 14 Desemba,2013.
Kabla ya uteuzi huo, Bwana BADE alikuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania tangu Septemba,2012 na baadaye kukaimu nafasi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania tangia Bwana Kitilya alipostaafu.

Kabla ya kujiunga na Mamlaka ya Mapato Tanzania, Bwana Rished BADE amewahi kufanya kazi katika maeneo mbalimbali yaliyompa ujuzi na weledi mkubwa kwenye mambo ya fedha na mapato kama ifuatavyo:-

 Oktoba, 1995 – Mei, 2000 – Mkaguzi wa Benki za Biashara, Benki Kuu ya Tanzania.
 Juni, 2000 – Juni, 2001 – Credit Manager, Akiba Commercial Bank.
 Juni, 2001 – Septemba,2001 – Chief Financial Officer, Akiba Banking Corporation.
 Septemba, 2001 – Machi, 2006 – Chief Operating Oficer, Barclays Bank (Uganda).

 Januari, 2007 – Desemba, 2009 – Chief Executive Officer, Barclays Bank (Tanzania)
 Desemba, 2009 – 2012 – Chief Financial Officer, (East and West Africa Cluster) Barclays Bank Plc Emerging Markets.
 Novemba, 2010 – Septemba, 2012 – Chief Executive Officer, Tanzania Mortgage Refinance Company.

Bwana Rished BADE ana Shahada ya Kwanza ya Bachelor of Commerce and Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1995); Shahada ya Master of Commerce in Banking and Finance ya Chuo Kikuu cha Sydney (1999), na ni Certified Public Accountant (CPA).

Katika kumteua kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mheshimiwa Rais ana imani kubwa kwa elimu, uzoefu na weledi alionao, Bwana Rished Bade kwa kushirikiana na watumishi wenzake, atatoa mchango mkubwa kwa Taifa kwa kuzidi kuimarisha Mamlaka hiyo na kuboresha utendaji wake na hivyo kuongeza mapato ya Serikali kwa faida ya Taifa.

“Mwisho”
Imetolewa na:

Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu - Dar es Salaam.
08 Mei, 2014

Maoni binafsi: Mwandishi ajaribu kuangalia upya uandishi na matumizi ya lugha katika Habari kutoka Ikulu.Kwa mfano,hakuna Shahada ya Bachelor of..........

Sitaki kuamini kuwa vyeo hivi wanapeana bila kujali uwezo! Ila wanapaswa kuwa makini na makini na maandishi. Wanaidunisha ikulu kama taasisi.
 
nilisema huko nyuma......na sasa yamekuwa......nafasi mbili zilikuwa zinamngoja huyu kijana.......Commissioner General TRA or BoT Governor..........kijana sio fundi wa kumung'unya maneno.......ni kichwa na ni mchapakazi......hongera JK kwa uteuzi huu.......
 
Teh teh teh!

Mi bado nina wazazi wangu wote wawili!
Halafu mi nafaana na dingi kiroho mbaya! Siku zote watu wanadhani mi na dingi ni brothers!

Sasa nikuulize wewe muhaya wa muleba uliyelelewa na mama peke yake!

Babako unamjua ni yupi kati ya wale wateja woote wa GONGO mama MOSSAD II aliokuwa anawahudumia!?

Halafu kibaya zaidi umezaliwa na mimacho mnato kama bi kidude!

Yaani pashkuna hivi hivi!
toto sio rizki! Kuvunja biscuti pia haliwezi!

Sasa sijui baba gani atakae kukubali kuwa wewe ni mwanae!

Teh teh teh teh!

Cc faby THE BIG SHOW
Hahaha, muonee huruma
 
Last edited by a moderator:
na wewe skunk una ushahidi gani kwamba hajaisababishia hasara bank ya barclays! unakurupuka kama ulikuwa umedondokea kwenye septic tank!

Hiyo miaka aliyokaa Barclays Bank ndiyo miaka ambayo bank ilikuwa na worse perfomance na wizi wa mikopo hewa na kusababisha loss kubwa na kufungwa kwa branch zao kumi hadi leo, alafu ndo alikuwa operation manager..... Mhhhh

We dada MOSSAD II huyo anaejiita qn of sheba! Ameweka unafiki huo hapo juu! Wa kusema huyu muheshimiwa alisababisha hasara Barclays wakati yeye ni manager!

Mimi nikamuuluza USHAHIDI WA HAYO MADAI YAKE!

Halafu unaingia wewe huku umenufungia kibwebwe kiunoni! Shanga zote ziko nje unaniuliza mi Nimejuaje km HAKUTIA HASARA!

Hivi we kweli huwa unafikiri kabla ya kuandika hayo mapovu yako humu??

Na nina imani nyie wote wawili mnajidhani ni wayahudi lkn mkiangalia makalio yenu mnayakuta meusiii!

Kuku maji aliekosa manyoa makalioni!

Mnfnsssssssss!
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni punguwani.

Hivi unajua DR Rashid alitoka BOT lini?

Hivi unajua Balali aliingia lini?

Hivi unajua Rished alitoka BOT lini na kwenda Akiba?

Unajua wizi wa EPA ulitokea kuanzia kipindi gani?

Unajua kwanini Mkapa alimtoa Dr Rashidi akamleta Ballali aliyekuwa mshauri wake pale Ikulu?

Hebu usitake tufunguke hapa...

....mimi sifikirii kama wewe....tu watu tofauti....me always think outside the box(and i'm always right)....those who read me carefully know this.....anyway...talking about kina Dr.Rashid na sijui Balali.....suala la muda gani wameingia ama kutoka BOT si hoja hapa....nimesema huu ni mtandao(network)....so haijalishi waliingia ama kutoka BOT mda gani....Kama ungekua unashughulisha kichwa chako wala usingekuja na hiyo argument .....Watu hawa wamekua recycled kwenye taasisi mbalimbali..ikiwemo BOT...na kote walikopita kumekua na scandles zilizohusu matumizi mabaya ya fedha....Btw....kigezo cha usomi wa watu hawa wala si hoja.....maana wanaolitafuna taifa hili ni wasomi.....Labda nikukukumbushe tu kuhusu signature yako:kwamba "not only your heart is hollow...but also your brain"...bye bye..
 
We dada MOSSAD II huyo anaejiita qn of sheba! Ameweka unafiki huo hapo juu! Wa kusema huyu muheshimiwa alisababisha hasara Barclays wakati yeye ni manager!

Mimi nikamuuluza USHAHIDI WA HAYO MADAI YAKE!

Halafu unaingia wewe huku umenufungia kibwebwe kiunoni! Shanga zote ziko nje unaniuliza mi Nimejuaje km HAKUTIA HASARA!

Hivi we kweli huwa unafikiri kabla ya kuandika hayo mapovu yako humu??

Na nina imani nyie wote wawili mnajidhani ni wayahudi lkn mkiangalia makalio yenu mnayakuta meusiii!

Kuku maji aliekosa manyoa makalioni!

Mnfnsssssssss!

We unajiita kahtaan sijui, kwani kudoubt ajabu?... Hayo ni maoni yangu kuwa miaka aliyokaa hiyo bank ndo miaka ambayo hiyo bank ilifanya vibaya na kuibiwa pesa nyingi na kufungwa branch zao kumi, na staff wengi walioharibu waliacha na wengine kupunguzwa... Ajabu nini nawewe doubt yako.

Mbona mnawashutumu mafisadi mnaushaidi na pesa zao huko Uswiss? Wewe kama wewe ulishawah kuaccess account zao huko..
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Bade, Mwenyezi Mungu akusaidie upige kazi vizuriii.

Rushwa ni adui wa haki. Angalia rushwa na kodi za aina zotee

Mafanikiooo mema sanaa

Mtoto wa mkulima..

sasa hivi tra imepata mchapakazi ..bade ni mchapakazi, muadilifu,. mchukia rushwa... kitillya aliiharibu sana tra
 
Hiyo miaka aliyokaa Barclays Bank ndiyo miaka ambayo bank ilikuwa na worse perfomance na wizi wa mikopo hewa na kusababisha loss kubwa na kufungwa kwa branch zao kumi hadi leo, alafu ndo alikuwa operation manager..... Mhhhh

We unajiita kahtaan sijui, kwani kudoubt ajabu?... Hayo ni maoni yangu kuwa miaka aliyokaa hiyo bank ndo miaka ambayo hiyo bank ilifanya vibaya na kuibiwa pesa nyingi na kufungwa branch zao kumi, na staff wengi walioharibu waliacha na wengine kupunguzwa... Ajabu nini nawewe doubt yako.

Mbona mnawashutumu mafisadi mnaushaidi na pesa zao huko Uswiss? Wewe kama wewe ulishawah kuaccess account zao huko..

Hizo comments zako hapo juu hazionyeshi kama ni DOUBTS HATA KIDOGO!

Hizo kwa lugha ya mkoloni tunaziita accusations!
You have accused someone WITHOUT EVIDENCE!

Ungesema" NADHANI huyu bwana....bla...bla...blaa hapo Tungesema ume doubt!

Sasa siku nyingine jaribu Kupanga maneno yako kwa makini, la sivyo unaweza kwenda jela bure kwa kumsingizia mtu kitu ambacho huna HAKIKA!

Na kuhusu hao mafisadi, wala huna haja ya kuangalia account zao!

We mtu analipwa mshahara milioni 1 halafu anatembelea gari ya milioni 200! Kwa akili zako hio gari alipata kwa kuimba kwaya kanisani??
Au mchungaji ambae kwa kawaida hawapewi mishahara lkn nyumba wanazoishi ambazo NI ZA KWAO BINAFSI zina thamani ya Milioni 300!

We ulidhani yesu aliwateremkia akawakatia kidogodogo!

Hapo kama sio kuuza sembe ni Ufisadi kwenda mbele.
Na km hutoliona hilo basi unahitaji psychiatric Dr. haraka sana.
 
....mimi sifikirii kama wewe....tu watu tofauti....me always think outside the box(and i'm always right)....those who read me carefully know this.....anyway...talking about kina Dr.Rashid na sijui Balali.....suala la muda gani wameingia ama kutoka BOT si hoja hapa....nimesema huu ni mtandao(network)....so haijalishi waliingia ama kutoka BOT mda gani....Kama ungekua unashughulisha kichwa chako wala usingekuja na hiyo argument .....Watu hawa wamekua recycled kwenye taasisi mbalimbali..ikiwemo BOT...na kote walikopita kumekua na scandles zilizohusu matumizi mabaya ya fedha....Btw....kigezo cha usomi wa watu hawa wala si hoja.....maana wanaolitafuna taifa hili ni wasomi.....Labda nikukukumbushe tu kuhusu signature yako:kwamba "not only your heart is hollow...but also your brain"...bye bye..

ungependa nani angeteuliwa kuwa kamishna wa tra?
 
Hii benki ya Baclays Bank managing director wake alikuwa ni Rished Bade ambaye anatoka Arusha na wana undugu na Idrisa Rashid managing director wa Tanesco.Huyu Rashid Bade walikuwa wote benki kuu ya Tanzania wakati Idrisa Rashid akiwa gavana wa Benki kuu.Hivyo kama mikopo ilichukuliwa Baclays twaweza unganisha dots.Pia ile mipesa ya EPA na Richmond iliyopitia CRDB kwa managing director Kimei haikuwa bahati mbaya.Kimei alikuwa ni mkurugenzi benki kuu wakati Idrisa Rashid alipokuwa gavana wa benki kuu.Kwa hiyo Idrisa Rashid,Rished Bade na Kimei wanafahamiana sana tu na kwa karibu wakiwa benki kuu na baada ya kutoka benki kuu inaelekea wameendeleza mtandao fulani wa kuliza nchi.

Kiufupi twaweza kusema unapoongelea ufisadi na connection na benki kuu Rished bade,Idrisa na Kimei wako connected Kiuhalifu unaohusu ndani na nje ya benki kuu kupitia EPA,Richmond,Dowans.Maana mapesa yaliibwa benki kuu yakaenda CRDB mengine yakaibwa kupitia Richmond yakaenda CRDB na mengine yakakopwa Baclays sijui yalienda wapi kama mmiliki anakana kuwa hakukopa labda yalifanyiwa money laundering kupitia benki fulani yakayeyukia kule kunakofanana na wanakoficha pesa akina chenge na wengineo.
New revelation, Dowans

ulimtaka nani ateuliwe? una wivu wa kike
 
Hizo comments zako hapo juu hazionyeshi kama ni DOUBTS HATA KIDOGO!

Hizo kwa lugha ya mkoloni tunaziita accusations!
You have accused someone WITHOUT EVIDENCE!

Ungesema" NADHANI huyu bwana....bla...bla...blaa hapo Tungesema ume doubt!

Sasa siku nyingine jaribu Kupanga maneno yako kwa makini, la sivyo unaweza kwenda jela bure kwa kumsingizia mtu kitu ambacho huna HAKIKA!

Na kuhusu hao mafisadi, wala huna haja ya kuangalia account zao!

We mtu analipwa mshahara milioni 1 halafu anatembelea gari ya milioni 200! Kwa akili zako hio gari alipata kwa kuimba kwaya kanisani??
Au mchungaji ambae kwa kawaida hawapewi mishahara lkn nyumba wanazoishi ambazo NI ZA KWAO BINAFSI zina thamani ya Milioni 300!

We ulidhani yesu aliwateremkia akawakatia kidogodogo!

Hapo kama sio kuuza sembe ni Ufisadi kwenda mbele.
Na km hutoliona hilo basi unahitaji psychiatric Dr. haraka sana.

Hizo bilioni za mikopo zilizoibiwa huko bank alikotoka zilitupwa chooni? bad enough yeye ndo alikuwa finance na zaidi hadi fine hiyo bank ilipigwa kwa shutuma za money laundering ... Walioharibu pale ndo walitoka na tjats what i doubt, we kaa ulazimishe ninacho hisi mimi hiyo ni tafsiri yako. Ila hii kamwe haitanifanya nisihoji utendaji mbovu wake,coz hiyo cv yake inaonyesha kote alipokaa kwenye hizo taasisi ndipo hizo taasisi zilifanya vibaya kwa shutuma mbali na yeye akiwa kiongozi.
 
Teh teh teh!

Yaani unataka kusema RAIS WA NCHI YAKO kumchagua huyo bwana kuwa KAMISHNA MKUU WA KUKUSANYA MAPATO hana busara kama wewe qn of sheba ambae JF ikifungwa na wewe ndio kifo chako!?

Teh teh teh!

Mi naona ile dozi uliopewa hujamaliza! Rudi hospitali haraka! Kabla hujaanza kuvaa nguo za ndani kichwani!

Hayo ni mawazo yako binafsi...
Na mimi nime doubt tu why sehemu alizotoka hazikufanya vizuri. Thats all endelea kushikia bango na ulivyoelewa what i doubt tchao.
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni mawazo yako binafsi...
Na mimi nime doubt tu why sehemu alizotoka hazikufanya vizuri. Thats all endelea kushikia bango na ulivyoelewa what i doubt tchao.

Pamoja na Doubt zako unatakiwa Umpe HONGERA kwa kuchaguliwa kuwa Mkusanyaji kodi wako atakae komesha Mafisadi huko TRA!

Muombee dua za mafanikio. Na majungu waachie kina dada MOSSAD II. Matola na Remote Manake hawa wamezaliwa uswahilini na wazee wao wamewalea kwa kupika gongo!

Fikra na busara zao zime kaa ki gongo gongo tu!

Kaa nao mbali!
 
Thats good bora hayo ungeyasema mapema... Ofcoz hakuna mtu anamtakia mwenzie mabaya hasa kwa faida ya nchi yetu ninamtakia kila la kheri aiongoze vizuri na kutuongezea mapato zaidi.

Ila kudoubt si vibaya as long kama unataka kupata taarifa zaidi kuhusu mtu husika ili umjue vizuri. Hasa akiwa amewah kukaa sehemu zilizokuwa na misukosuko ya fedha.

Have a nyc tym.
 
Last edited by a moderator:
sawali la kizushi :vp kuhusu ile " status quo " ya uchagga pale TRA after BADE kuwa kamishna mkuu?.

NB :mimi sio mchaga,ila nimeuliza tu.
 
Back
Top Bottom