Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Tunampa hongera zake, lakini.............!!

If you try to connect the dots: Rishad Bade, Hussein Bashe, Aden Rage na Abdurhaman Kinena, you will get a complete picture. Huyu Rishad Bade lazima atakuwa mtu wa mtandao. Si mnajua Uchaguzi Mkuu unanukia, kwanini Mkuu wa kaya asitafute watu watakaomsaidia kutengeneza Pesa ya chap chap kwa ajili ya Ushindi wa kishindo??

Hapa kuna Kinena na Pembe za ndovu, hapa kuna Mwigulu Nchemba Mzee wa Mabomu ndani ya Wizara ya Pesa, ukizunguka kule unamkuta Hussein Bashe ndani ya Makampuni ya Rostam Aziz pamoja na mzee wa Richmonduli(Whitehaired), kwanini CCM wasishinde kwa Kishindo, maana kote huko ni mbesaa tu!!!Tusubiri.
 
ninamashaka na utendaji wake kwani alikuwa CEO wakati Barclays bank(Tanzania) inapata hasara ya bilioni 8 iliyotokana na mikopo hewa.

Matatizo kama hayo ndo tunayoyahitaji ili tujue tuendako. Sasa kuna watu wanasifia tu kwa kuangalia hicho kituko wanachokiita ´CV.

Nini maana ya CV? Hatuhitaji kujua alivoweza kuzululz ofisi moja hadi nyingine, tunataka tufahamu alifanya nini ktk ofisi hizo. Je, kweli inaonyesha ni mtu mwenye ubunifu? Ubunifu ndo unatupeleka mbele, na hiyo ndo shida yetu.

Btw. BOT, TRA, Ulinzi, Hizo siyo sehemu za kishikaji, lakini ndivyo ilivyo hapa nchini.
 
Hii cv ya kitoto sana. Ndo maana wenye mawani za kuona hadi tumboni wanakuambia sio kazi wala elimu hapo. Huyu ni banker na maswala ya kodi ni kitu tofauti saana. Naona ule mkakati unafanya kazi.
Kwenu wafanyakazi wa TRA, bosi mpya ndo huyoo. Akizingua la kufanya mnalijua.
 
Du lugha kali hii mkuu!!! Huwa mara nyingi hazitakiwi tu hapa. Kuna rules za JF sijui ulishazipitia? Kila member ana uhuru wa mawazo yake hapa ila kama huyataki basi unapotezea au ukijibu iwe kwa polite language!!! Si rahisi kila member ukubaliane naye kwa kuwa kila mmoja ana fikra zake. Ni mtizamo wangu tu.

Mkuu, heshimu mawazo yangu...JF ni jukwa huru na kutofautiana mitazamo ndio changamoto zenyewe!

Hapo juu hakuna kanuni nilovunja. Kama huamini mawazo yangu ruksa nawe kuyapinga!
 
Tunampa hongera zake, lakini.............!!

If you try to connect the dots: Rishad Bade, Hussein Bashe, Aden Rage na Abdurhaman Kinena, you will get a complete picture. Huyu Rishad Bade lazima atakuwa mtu wa mtandao. Si mnajua Uchaguzi Mkuu unanukia, kwanini Mkuu wa kaya asitafute watu watakaomsaidia kutengeneza Pesa ya chap chap kwa ajili ya Ushindi wa kishindo??

Hapa kuna Kinena na Pembe za ndovu, hapa kuna Mwigulu Nchemba Mzee wa Mabomu ndani ya Wizara ya Pesa, ukizunguka kule unamkuta Hussein Bashe ndani ya Makampuni ya Rostam Aziz pamoja na mzee wa Richmonduli(Whitehaired), kwanini CCM wasishinde kwa Kishindo, maana kote huko ni mbesaa tu!!!Tusubiri.

You may have points! This time around they will not play with us. This is not a country for the few, we will follow up!
 
Unataka ukiandika tukuambie ndio mzeeee!!!!. Kumbe mnajijuaeeee kuwa uteuzi wa NSSF ulizingatia masharti na vigezo kama hivyoo. Sio siri na kila jambo lina mwisho. Kwani kutengua uteuzi ni kazi kubwa hivyo. Wewe unateua wanakuja wengine wanatengua. Kushnehi.
 
Siku hizi kuna mabadiliko makubwa mfano nilikwenda kwa registration ya gari nikapokewa vizuri na kwakuwa kadi yangu ilikuwa inahitaji kurekebishwa nikaombwa samahani kwa usumbufu, wakaniambia nijisikie nyumbani nikapewa kahawa wakati nasubiri huduma
Hongera sana bwana Bade.

TRA inahitaji mtu kama huyu ambaye anatokea kwenye Private Sector na sio mwenyeji wa ndani ya TRA.

Nategemea mabadiliko makubwa ya kiutendaji humo ndani.
 
kesho amtaanza hapa kujambajamba na mfumo kristo, pesa yote atakayokusanya inapelekwa kwa kafir benno ndulu halafu pengo ndio anapanga bajeti.

We unajua nini!?
Kufua nguo zako za ndani tabu!

Au mpaka nitoe siri zote za nyumbani!??

Mama Matola kaniambia kitu! Nikikiandika hapa utaanza kulialia tena kwa invisible sasa hivi!

We mtoto wa kike mwaka wa 20 leo hujui hata kupika ugali! We kweli utadumu kwenye ndoa!
 
Last edited by a moderator:

kahtaan unasema Matola bint yako ana umri wa miaka 20 tuh lkn ana ndoa saba 7??

Basi namimi natakaa niozeshe maana naskia kule mtwara asha Mohamed kabakwa na wanajeshii duuu

teh teh teh
 
Teh teh teh!

Mbavu zangu mkuu!

Naskia alibakwa na mwanajeshi mmoja mliberali anaitwa Ras pitbull milionare!

Jamaa ana sura kama trekta!
 
Attachments

  • 1399563153916.jpg
    1399563153916.jpg
    11.7 KB · Views: 208
Last edited by a moderator:
ninamashaka na utendaji wake kwani alikuwa CEO wakati Barclays bank(Tanzania) inapata hasara ya bilioni 8 iliyotokana na mikopo hewa.

Liko jingine na mengine ya namna hii pia...nakumbuka siku anateuliwa kushika nafasi aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi huu, nilikuwa pale Rose Garden, itoshe kusema nilisikia mengi kuhusu doubting Thomasos...sasa kama ni kweli au la, subject to facts and time.
 
Tumanin Makene

Kama mlivyo na chuki na waislam kwenye hiko chama chenu basi usidhani kuwa kila sehem chuki hizo zitafanya kazi

Bade kateuliwa pale kwa vigezo maalum,siyo zito kabwe yule
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom