Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Mara zote uwa nina mashaka na umakini wa Premmy Kibanga kwenye taarifa anazozitoa kwenye public. Kutokana na CV ya huyu Bwana inaelekea alikuwa anafanya kazi kwenye ofisi mbili kubwa kwa wakati mmoja mwaka 2010 na 2011.

Desemba, 2009 – 2012
– Chief Financial Officer, (East and West Africa Cluster) Barclays Bank
Plc Emerging Markets.
Novemba, 2010 – Septemba, 2012 – Chief Executive Officer, Tanzania Mortgage Refinance
Company.


Tiba

Ahsante kwa kuona hayo mapungufu,nami nlikuwa najiuliza same question!!hapo hapo Shahada na Bachelor!!aah huyu mwandish anakuwa kama kasomea Chuo cha kata hafanyi mareheo ya nachokiandika!anaibisha Ofisi ya Rais Kurugenzi ya mawsiliano
 
Huyu Bwana Mdogo amekaa kisawasawa. He is articulate, innovative, well-informed, patient and a good listener. Huu uteuzi ni stahili yake kabisa!!!! Hapa namuunga mkono na miguu JK
 
Dogo apunguze kilaji. Whisky na ukamishna haviivi

Bategeze una uhakika? Vyanzo vyangu vinadai jamaa ni swala tano kama si kumi kabisa. Anyway, sifa mojawapo kubwa alipokuwa CEO Barclays ililikuwa kujilipa mabonus ya kufa mtu hata kama bank imepata hasara. Hope atakuwa amejifunza.
 
Anayekosea ni yule mwenye jitihada ya kutenda jambo kwa faida ya umma ama jamii yake
 
Mara nyingi mtu akikaimu nafasi na kuimudu vyema hutunikiwa hiyo nafasi

Hongera sana Mr Bade, you deserve it.

Huyu alitunukiwa kabla hajakaimu mkuu hakuna uhusiano wowote kati ya performance yake ya kuact na uteuzi wake. Kwa hili sijasema kwamba hajaperform bali nasema alipelekwa pale ili mzee aliyekuwepo amkabidhi period hayo mengine ni porojo tu.
 
Bade ni Jembe ila Fisadi nawasi wasi sana uteuzi wake ni mustakabali wa mapato yetu huko mbeleni yangu macho!!!! Sishangilii uteuzi huu hata kidogo.
 
Nimeambiwa rais kateua mtu huyu leo, hivi ni nani, sio blandina nyoni kweli kama mfumo ulivyokuwa una vuma.




===========================================================

Hivi mwandishi mkuu wa Rais ni nani? Kila siku nasikia mwandishi msaidizi!!!
 
Wewe ni punguwani.

Hivi unajua DR Rashid alitoka BOT lini?

Hivi unajua Balali aliingia lini?

Hivi unajua Rished alitoka BOT lini na kwenda Akiba?

Unajua wizi wa EPA ulitokea kuanzia kipindi gani?

Unajua kwanini Mkapa alimtoa Dr Rashidi akamleta Ballali aliyekuwa mshauri wake pale Ikulu?

Hebu usitake tufunguke hapa...

Funguka basi...Maana wakifunguka wenzako hatutaki kuona povu lako hapa..
 
Back
Top Bottom