Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,860
- Thread starter
-
- #81
Muda mkuu, hapo penyewe nimemaliza kuandika sasa hivi.Nimekuwa wa kwanza leo, sema tajiri ungeweka hadi mwisho dahβΊοΈπ₯²
Nisharuka nayo mapema tu ππ
Pamoja tajiri, βοΈ shukraniMuda mkuu, hapo penyewe nimemaliza kuandika sasa hivi.
Nikaona acha nipost kisha nishike mambo mengine, kesho tunamwagika mapema tu hapa.
πππ
Asante kwa sapoti lakini.
ππ Nilijua tu hii itakuwa ni kama kumsukuma mlevi, nitalipa hili deni kesho.Nisharuka nayo mapema tu ππ
Huna baya tajiri. Asante.πMuendelezo tayari mkuu
ya leo ilikuwa fupi mno πππππ Nilijua tu hii itakuwa ni kama kumsukuma mlevi, nitalipa hili deni kesho.
Shukrani tajiri umetisha.
Asante sana tajiri ngoja nisome
π sawa kiongozi nitaweka imara zana za kazi.ya leo ilikuwa fupi mno πππ
Pomoja mkuu.Shukrani tajiri umetisha.
Wee tajiri baya sana
ππ na hata ikitokea nimeoza nitatoa harufu ya Miski.Wee tajiri baya sana
Ukifa.hauozi
Ndio mana kuna watu nusu nitukanane nao kisa tu wanakusema.vibaya na mi hili suala sikutaka kabisa aiseeeππ na hata ikitokea nimeoza nitatoa harufu ya Miski.
Ni wapi huko mkuu, mbona hukuniita niwatie milioni 10 10 za chai watibu njaa zao. Inamaana watanzania hawajui kwamba kumsema vibaya tajiri ni laana!!!Ndio mana kuna watu nusu nitukanane nao kisa tu wanakusema.vibaya na mi hili suala sikutaka kabisa aiseee