Risasi yangu ya mwisho

Risasi yangu ya mwisho

Tupe namba ya mganga wako hili life lako la zamani sio kiurahisi rahisi kuwa tajiri mkubwa duniani😂
😄😂🤣🤣 siri ni kujituma tu mkuu, kwa mfano mimi nilianza na robo kilo ya mchele nikawa napika vitafunwa nauza mashuleni lakini sasa namiliki Super market 34 sheli 15 mabasi 50 viwanda kibao tu na Takataka nyingine nyingi.
Siri ni kujituma tu mkuu💪
 
😄😂🤣🤣 siri ni kujituma tu mkuu, kwa mfano mimi nilianza na robo kilo ya mchele nikawa napika vitafunwa nauza mashuleni lakini sasa namiliki Super market 34 shelf 15 mabasi 50 viwanda kibao tu na Takataka nyingine nyingi.
Siri ni kujituma tu mkuu💪
Robo ya mchele 😂😂😂

Matajiri hamna baya🤣🙌
 
Back
Top Bottom