Risasi yangu ya mwisho

Risasi yangu ya mwisho

Huyu mtoto ameelewa somo....ila haitaji haraka kiongozi mlete mshangazi kwanza mengine yafate au dosho12 unasemaje
Kweli kabisa mambo mazuri hayahitaji haraka😃😃, na suti yangu bado ipo kwa fundi kaniambia mpaka alhamisi ndo itakuwa tayari hivyo ndoa isubirishe kwanza Tajiri😁😁

Ila nimepata taarifa kwamba suti utashughulikia wewe hivyo nimemwambia fundi aachane nayo tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sawa mkuu lakini nimeshasema hapo juu wewe na Harmful mtavaa suti ya gharama zaidi barani afrika, achana nayo hiyo ambayo ipo kwa fundi.
 
Back
Top Bottom