Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
- Thread starter
- #81
Muda mkuu, hapo penyewe nimemaliza kuandika sasa hivi.Nimekuwa wa kwanza leo, sema tajiri ungeweka hadi mwisho dah☺️🥲
Nisharuka nayo mapema tu 😁😁
Pamoja tajiri, ✊️ shukraniMuda mkuu, hapo penyewe nimemaliza kuandika sasa hivi.
Nikaona acha nipost kisha nishike mambo mengine, kesho tunamwagika mapema tu hapa.
🙏🙏🙏
Asante kwa sapoti lakini.
😆😆 Nilijua tu hii itakuwa ni kama kumsukuma mlevi, nitalipa hili deni kesho.Nisharuka nayo mapema tu 😁😁
Huna baya tajiri. Asante.😂Muendelezo tayari mkuu
ya leo ilikuwa fupi mno 😃😃😃😆😆 Nilijua tu hii itakuwa ni kama kumsukuma mlevi, nitalipa hili deni kesho.
Shukrani tajiri umetisha.
Asante sana tajiri ngoja nisome
😁 sawa kiongozi nitaweka imara zana za kazi.ya leo ilikuwa fupi mno 😃😃😃
Pomoja mkuu.Shukrani tajiri umetisha.
Wee tajiri baya sana
👏👏 na hata ikitokea nimeoza nitatoa harufu ya Miski.Wee tajiri baya sana
Ukifa.hauozi
Ndio mana kuna watu nusu nitukanane nao kisa tu wanakusema.vibaya na mi hili suala sikutaka kabisa aiseee👏👏 na hata ikitokea nimeoza nitatoa harufu ya Miski.
Ni wapi huko mkuu, mbona hukuniita niwatie milioni 10 10 za chai watibu njaa zao. Inamaana watanzania hawajui kwamba kumsema vibaya tajiri ni laana!!!Ndio mana kuna watu nusu nitukanane nao kisa tu wanakusema.vibaya na mi hili suala sikutaka kabisa aiseee