insane
Member
- Jun 9, 2026
- 11
- 20
Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell).
Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira yalivyomshinda moja kwa moja, hakuna siku ya kiama
Haya mabadiliko ni asili ambayo ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo lakini.... kama teknolojia haitaingilia kati. Binadamu walibadilika kutoka spishi ya sokwe mpaka kuwa homo sapiens. Watu watakataa lakini haya mambo ya mabadiliko yapo na yataendelea kuwepo na haya mabadiliko hutokea tarabibu sana kiasi ambacho kugundua ni ngumu leo hii binadamu asilimia 35 tu duniani wanakunywa maziwa 65 hawanywi kwasababu binadamu wa zamani walikuwa wakimaliza tu kunyonya hawezi tena kunywa maziwa kwa sababu ya virutubisho vyake na sukali. Lakini mabadiliko yaliyopo sasa ni meno ya binadamu 32 yanapunguwa kuweka nafsi ya maziwa mdomoni.
Hii asili ya mabadiliko ipo na itaendelea kuwepo lakini pia hatuwezi kusahau kuzungumzia sayansi na teknolojia
Teknolojia pia sasa inaenda kukamata rimoti ya asili ya mabadiliko hivi sasa binadamu wanampango wa kupandikiza chip ifanye kazi pamoja na ubongo wako yani wewe unakuwa unaweza kuongea karibia lugha zote hii imetokana na mchanganyiko wa watu mbali mbali duniani sasa hii kitu pengine ingekuja kuwezekana huko miaka ya mbele lakini teknolojia imetake place chapu, sasa teknolojia imeweza kuwabadili mbu waziwe kuambukiza maralia
Sema hapa kwenye teknolojia kuna swali ambalo mpaka sasa linaonekana ndio shida kwamba tutajiharibu au ndio itakuwa sawa?
Asante na kwaheri