Risasi yangu ya mwisho

Risasi yangu ya mwisho

Duh wewe mshikaji umenifurahisha sana na story yako ,ni hapa nikaukumbuka msala wa keko machungwa kwa bibi kidunye jinsi nilivyowindwa na wahuni kisa demu wa mtaa .
Nikaja ponea kwa afande maliki ,pale barracks
🤣🤣🤣 huwezi kutuleka juu juu kidogo ilikuwaje hadi ukawindwa, alikuwa demu wa muhuni mmoja kati yao au?
 
Alikuwa demu wa muhuni ambaye ni kontawa wa mtaa kumbe anakula miti kwangu na kwa kaka kontawa .

Majasusi wa kontawa wakazipata taarifa wakausoma mchezo pasina mimi kujua nini kinaendelea ni hapo nikaanza kuwindwa ,kwakuwa na mimi nilikuwa na ukontawa wangu huko mitaa ya upanga basi kuna wahuni wa keko wananijua hivyo katika rabsha la mimi kusakwa na wahuni nipewe kipigo ikabidi wanitonye mapema kuwa nawindwa na kontawa wa mtaa pamoja na kikundi chake .

Ni hapo mtoto wa watu nikaanza kuishi kama yatima niwakujifichaficha si asubuhi si mchana ,kurudi mitaa ya nyumbani naogopa maana mshua ananisakama na hapo nimetoroka masikani ilikuwa so .

Finally nilijaa kwenye mikono ya wenye mtaa wao wakati wanaanza kipigo bahati ikawa kwangu nikachoropoka miendo mpaka kwa rafiki yangu afande Malick lengo aniokoe basi alitokea naye akawa awapigi biti kama nilivyotaka mimi ila ndiyo ikawa nitolee na kwenye kigeto changu sikurudi na sijui nini kilijiri

Kile kisauda kuna siku kilinicheki facebook eti kimenimiss nakumbuka nilikichamba mpaka nahisi kilizimia kabisa kwa kichambo kile
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Asee huu ujana una mambo mengi.

Nakimbia chapu isije wadau wakanidai muendelezo. 🤸🤸🏃‍➡️🏃‍➡️🏃‍➡️
 
Back
Top Bottom