Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
Naamini itasomwa
Ngoja tuone hapo jioni
Naamini itasomwa
Hii laana Mh Pinda haitomuacha kabisa! Pinda aliandaa mazingira ya kutojadiliwa report ya escrow!
Kwani zile busara za majaji tunazoambiwa wanazitumia kwenye issues nyeti zimeenda wapi??????????? au mgawo umewafumba macho na wao?????????????????? Hovyo, hakuna chombo kinachoamini ka nchi hii
Mnyele atakuwa anatumiwa na mzee Pinda ni mfipa mwenzake tena ni shushushu wa kutupwa ana nifahamu na nina mfahamu huyu mnyele alimuua mkewe kwa kipigo hata hakufungwa
Hii ripoti sijui kama itasomwa;
Bunge litakutana saa kumi na moja;
Hapa ni kama kuna kitu kinataka kufunikwa.
Kwa kweli mimi ninaamin mh. Profesa katia mkono si bure.. Halafu mbna harud?????
Daahhh nchi uzalendo sifuri
si mahakama ipo pale. Tanesco nayo ipo pale na bunge lipo Dom . sasa ni wakati wa wanchi kuondoa fikra za uwoga liwe na liwe tufanye kama ya Bokinafaso
Mkuu ni kweli Mnyele alimuua mke wake pale Hugo House na badala ya murder akashitakiwa kwa manslaughter.
Mkuu katika sheria ya partnership partner mmoja huwa anafanya kwa niaba ya partner mwingine. Hivyo Marando naye yumo humo in a way.
Hii ripoti sijui kama itasomwa;
Bunge litakutana saa kumi na moja;
Hapa ni kama kuna kitu kinataka kufunikwa.
Hili suala la escrow litawatokea puani Bunge kama wakiendeleza na ukaidi.
hivi kwa akili ya kawaida,serikali inaweza kuwa kwenye mgogoro mkubwa hivi bila yeye kuhusika?Nilisema siku nyingi,huyu jamaa nimemsoma hadi nimemwelewa,ukimuona kaondoka nje ya nchi muda mrefu,ujue kuna madudu yake yanalipuka anayakimbia,hopeless president,ovyo kabisa!dah..!! LE PROFESSERI @ work...!
sijawai kuwa na imani na mawakili(wanasheria),mara zote wapo kimaslaiEscrow ni kokoro.
Jamani JF huwa haina longolongo. Kuna mtu aliandika humu kwamba Marando na Myele wameenda kuping mahakamani Report ya Escrow isisomwe, watu wakapinga na kukanusha. Sasa hati ya mahakama inaonyesha Mnyele ambay ni partner wa Marando katika kampuni ya uwakili ya Marando & Mnyele Advocates ndiye wakili kinara katika shauri hili akiiwakilisha PAP/IPTL.
Niambie kwanza kwani ile ni kampuni au partnership?
Mnyele atakuwa anatumiwa na mzee Pinda ni mfipa mwenzake tena ni shushushu wa kutupwa ana nifahamu na nina mfahamu huyu mnyele alimuua mkewe kwa kipigo hata hakufungwa
nini kifanyike isomwe??Hii ripoti sijui kama itasomwa;
Bunge litakutana saa kumi na moja;
Hapa ni kama kuna kitu kinataka kufunikwa.