Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,731
Imefika wakati wa kuingia msituni sasa;
Hawawezi kukomba keki yote wao
huku nchi inatepeta kama tumbo la tembo aliyekosa nyasi.
Kila kitu hakuna, kila mahali ni shida, ni ukiwa mtupu.
Hawawezi kukomba keki yote wao
huku nchi inatepeta kama tumbo la tembo aliyekosa nyasi.
Kila kitu hakuna, kila mahali ni shida, ni ukiwa mtupu.
Nini maoni yako Mama?