Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,772
- 165,406
Spika anaweza kukamatwa kwa kutuzuga tu.Hawa wote lao moja tu.
Hivi IPTL wananguvu kuliko Umma wa Watanzania nzima?
Duh! Mtafute umeme mbadala. Hata kajenereta kadogo ununue ili kakusaidie wakati wa dharura na hot issue kama hii ya escrowNdo mana wamerudisha umeme kumbe jioni.
Nakubaliana na wewe mkuu. Kuna watu wanadhani kila kitu unaweza kutumia mabavuHapa ni sheria na taratibu tu hakuna mabavu wala maguvu.
Kitaelewekaje wakati kuna Court Injuction?Mkuu nimekubali kuwa sasa Watanzania tumeanza kuamka.... baadae jioni lazima keleweke, sawa sawaaaa.
Nakubaliana na wewe mkuu. Kuna watu wanadhani kila kitu unaweza kutumia mabavu
Mbona Davido alidharau hiyo hati na hakufanywa chochote na na akafanya show yake.