Kwani zile busara za majaji tunazoambiwa wanazitumia kwenye issues nyeti zimeenda wapi??????????? au mgawo umewafumba macho na wao?????????????????? Hovyo, hakuna chombo kinachoamini ka nchi hii
Kwanini
Nakubaliana na wewe mkuu. Kuna watu wanadhani kila kitu unaweza kutumia mabavu
1. Baada ya bunge kukaidi amri ya mahakama kuna madai kuwa Polisi wameagizwa wamkamate Spika na timu yake. So tunaweza kushuhudia kichekesho asubuhi hii Dodoma, cha polisi kuwakamata Spika, AG, Katibu wa bunge, na wengine waliokiuka amri ya mahakama.
2. Zitto, Filikunjombe na wajumbe wengine wa PAC wamelala nje ya ofisi ya Spika wakiilinda ripori isichakachuliwe. Ktk hili nawapongeza.
3. Baadhi ya Wabunge wameanza kuondoka kwa kuhofia vitisho. Ila na wale "wanafiki" wasiopenda misimamo yao ijulikane wameanza kuondoka kwa kusingizia vitisho. So hawa wanarudi hotelini na kwenda kujifungia ili wawaangalie wenzao wakifanya maamuzi kupitia TV. What a shame??
4. Serikali imeandaa Mikakati wa kukata umeme baadhi ua maeneo (hasa mijini) ili watu wasiweze kufuatilia mjadala wa leo kupitia TV. Mkakati wa kukata umeme umekamilika kwa baadhi ya maeneo na hadi sasa kuna maeneo hawana umeme.!
#MORE_UPDATES_WILL_FOLLOW .!
Mbona Davido alidharau hiyo hati na hakufanywa chochote na na akafanya show yake.
Court injuction aliwekewa hata Davido asipande jukwaani Fiesta, lakini alipanda akasepa zake. Tanzania ya leo ni vurugu mechi, gombania goli. Tatizo baba ukiwa mwizi hivi utakuwa na ubavu wa kukemea wanao? JK is blackmailed in this so serikali yake haina ubavu wa kufanya maamuzi magumu.
Mchezo huu ungekuwa unatokea china
Mnyele atakuwa anatumiwa na mzee Pinda ni mfipa mwenzake tena ni shushushu wa kutupwa ana nifahamu na nina mfahamu huyu mnyele alimuua mkewe kwa kipigo hata hakufungwa
Wanasubiri court order ili wasitishe
Yaani Clouds FM waliomleta Davido wana nguvu kuliko bunge!