Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

yani jioni hii kitu isipojadiliwa hawatoki ndani humo... tutawachoma wote tuwale mishkaki!!! mtaani jua kali wao wanakula neema tu
 
Hapa ni dereva wa basi la abiria kulitoa barabarani na kulipeleka kwenye korongo ili kumkwepa mwendesha baiskeli.
 
mwenyekiti tumia busara kubwa na haraka watu wa bot na wizara ya fedha warudi kufanya kazi pesa mitaani hakuna , hii ndio taabu serikali kufanya uwizi na wafanya biashara ikitokea kama hivi wanazuia pesa zao tabu wanapata wengine... kwa ufupi ni wachache saaaaana wenye kufaa serikali hii maamuzi magumu yapite walobaki waondolewe hawajazaliwa kuongoza kisha wakivurunda bado wanataka kufia humo humo good example..aka mzee wa vijisenti jamaa kila dill yupo na bado mbunge mwenyekiti come on unoeni haya
 
Imefika wakati wa kuingia msituni sasa;
Hawawezi kukomba keki yote wao
huku nchi inatepeta kama tumbo la tembo aliyekosa nyasi.
Kila kitu hakuna, kila mahali ni shida, ni ukiwa mtupu.

Hata wewe! Au kuna mtu ame-hack address yako?
 
Tunataka tuone ni nini kitatokea kati ya Bunge na Mahakama leo jioni. Hao ni mafahari wawili wanavutana.

Hii mahakama iliyodharauliwa na Ruge wa clouds FM kwenye ishu ya Davido na Ikaufyata leo hii inalitishia bunge?
 
Escrow ni kokoro.

Jamani JF huwa haina longolongo. Kuna mtu aliandika humu kwamba Marando na Myele wameenda kuping mahakamani Report ya Escrow isisomwe, watu wakapinga na kukanusha. Sasa hati ya mahakama inaonyesha Mnyele ambay ni partner wa Marando katika kampuni ya uwakili ya Marando & Mnyele Advocates ndiye wakili kinara katika shauri hili akiiwakilisha PAP/IPTL.

Sijaona jina la Marando hapo au ukitaja Manyele Marando inakuwa ndani. Issue pale walitaka Jina la Marando liwepo wapate cha kusema of which bado anaweza kuwatetea hata kama ni CHADEMA.
 
Katika ukurasa wake wa facebook,Naibu Katib Mkuu wa CUF bara,bwana Julius Mtatiro, amesema kuwa ripoti ya PAC itawasilishwa saa 11 jioni na kusema habari hiyo amethibitishiwa na mh.Zitto Kabwe.

Hatimae shinikizo la wabunge sasa limefanikiwa licha ya dana dana zote za tangu jana.
 
Hata kama itasomwa, labda mama awe hakupata mgawo vinginevyo tutarajie kusikia '' wewe kaa chini hiyo siyo hoja'' au 'jambo lililo mahakamani halijadiliwi''. I don't trust any, any organ of the three at this moment
 
Hii kitu haikwepeki lazima isomwe tu maana iko mikononi mwa wabunge tayari
 
Hawana jinsi ya kuzuia jambo ambalo hata wao wenyewe linawathiri, nchi ya misaada sasa hii na hao mabwana wa serikali hii wamesema wanataka kuiona hiyo taarifa.
 
Kwa kuwa suala hili limeonyesha utata wa hali yajuu kiasi cha watanzania kuongezewa upotevu wa imani kwa serik hali, mahakama na kwa kiasi fulani bunge, naomba report hiyo iwekwe hapa mtandaoni ili tuisome na ama tuweze kufuatilia pale mjadala unapofanyika.

Hlil ni suala la maisha ya Watanzania, hatuhitaji danadana wala malumbano yenye hila za kupoteza haki zetu. tumeteseka kiasi cha kutosha ndani ya nchi yetu na sasa ni basi.

Tunaomba report iwekwe hapa, tuisome, tuchukue maamuzi yetu nini cha kufanya. Kama Bunge litaendelea na usaliti wake, na kufanya hila yoyote ya kutetea wizi kwa namna ya kuchelewesha, ama ujanja wowote, sis tutekeleze maazimio yetu.

NA HUU NI MWANZO TU. WALE WOTE WANAOISHI KWA DAMU NA JASHO LETU, RUDISHENI KILA KILICHO CHETU. KINYUME CHA PALE, MTAKUJA KUKUMBUKA WAKATI NAFASI YA KUREKEBISHA HAIPO.

ENOUGH IS ENOUGH!
 
Sijaona jina la Marando hapo au ukitaja Manyele Marando inakuwa ndani. Issue pale walitaka Jina la Marando liwepo wapate cha kusema of which bado anaweza kuwatetea hata kama ni CHADEMA.

Mkiwa katika partnership basi mmoja akifanya kazi anakuwa anawakilisha mwenzake/wenzake ambao wako nao katika hiyo partnership. Utasikia wanasema Wakili Mnyele wa Marando, Mnyele & co Advocates. Hii ni kwa mujibu wa sheria za partnership.

 
asakuta same ni wangapi wameona tweet ya doctor!!! ilikua ni wakati tungeona chopa ikizunguka kuufahamisha umma au kuitisha vikao na waandishi. jaribu kutumia lugha vizuri
 
Ndo nini sasa? kwani isianze muda huu wa Asubuhi? mbona mnakera sana?

These are delaying tactics!Tegeta ESCROW report haitasomwa wala kujadiliwa bungeni.Tusubiri tuone.Mafisadi wanai-own Tanzania,it is their incorporated company.
 
Back
Top Bottom