Proffessa wa Kichina
Member
- Nov 7, 2014
- 36
- 14
Tunataka ukweli
Mnyele atakuwa anatumiwa na mzee Pinda ni mfipa mwenzake tena ni shushushu wa kutupwa ana nifahamu na nina mfahamu huyu mnyele alimuua mkewe kwa kipigo hata hakufungwa
Dah watu wana data ile mbaya
Ndiyo nini umeandika hiki mkuu.
Safi sana wakishapakwa asali vidoleni wanasahau kila kitu ngoja moto uwachomeLisu anajitahidi kufatilia mambo!!kamchana Chana mwanasheria wa PAP aliyepeleka kesi mahakamani
Hakika report haita wasilishwa!
Mkuu nimekubali kuwa sasa Watanzania tumeanza kuamka.... baadae jioni lazima keleweke, sawa sawaaaa.
Wito kwa taasisi na wananchi wote,tuingie frontline kulikemea hili.