Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,894
Reaction score
63,512
Twitter account ya JamiiForums wana updates Mvutano unao endelea kuhusu kusomwa au kutokusomwa Kwa Ripoti ya Escrow. Fuatilia twitter Acount ya jamiiforums Kupitia JamiiForums

B3WEB9PIEAApwi1.jpg:medium


*Yabainika: Serikali imesisitiza amri ya Mahakama itekelezwe ili #TegetaEscrow report isisomwe Bungeni

*UPDATE: Serikali (Lukuvi na wenzie) wanadaiwa kutumia mabavu #TegetaEscrow Report isomwe tu bila kujadiliwa!

*UPDATE: Watu wa PAP na hati yao ya mahakama wapo getini Bungeni wakitaka kutoa hati kwa BUNGE. BUNGE limegoma kupokea! #TegetaEscrow

*UPDATE: Spika & Katibu wa Bunge wamejifungia ofisini kwa spika kujadili kabla ya Kamati ya Uongozi. Wenyeviti wengi
hawajafika #TegetaEscrow

*UPDATE: Wenyeviti Waliofika mpaka sasa ni Ngwilizi, Msola, Mbowe na Serukamba #TegetaEscrow

*UPDATE: Wabunge wamepewa nyaraka bila hata kuwasilisha kwa kusoma. Kamati ya Uongozi inajadili amri ya mahakama! #TegetaEscrow

*UPDATE: Taarifa za sasa zinabainisha Bunge litaahirishwa hadi jioni! #TegetaEscrow

*UPDATE: Hati hii ndo imeleta kasheshe Bungeni na kupelekea #TegetaEscrow report kuwa kaa la moto!

B3WZUqMCIAAQVKf.jpg:medium

*UPDATE: Katika Kikao cha CCM jana usiku, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mangula alitaka wahusika wajiuzulu, wao hawataki! #TegetaEscrow

*UPDATE: Bunge limekataa kupokea order ya mahakama. Ripoti ya PAC itasomwa jioni na si asubuhi tena #TegetaEscrow

*UPDATE: Katika kikao cha jana usiku cha CCM; Muhongo alitoa maelezo kwamba pesa si za umma na kwamba taratibu zilifuatwa #TegetaEscrow

*
TIP: Kuna mgawanyiko ndani CCM juu ya #TegetaEscrow; Mizengo Pinda anatakiwa abaki Mawaziri na watendaji waliohusika wang'oke!
 
So hapo itakuwaje wakuu Je itasomwa na kujadiliwa ama? Coz nimekaa natazama TV but sijajua what next regarding this sakata wazee
 
dah..!! LE PROFESSERI @ work...!
 
1. Baada ya bunge kukaidi amri ya mahakama kuna madai kuwa Polisi wameagizwa wamkamate Spika na timu yake. So tunaweza kushuhudia kichekesho asubuhi hii Dodoma, cha polisi kuwakamata Spika, AG, Katibu wa bunge, na wengine waliokiuka amri ya mahakama.

2. Zitto, Filikunjombe na wajumbe wengine wa PAC wamelala nje ya ofisi ya Spika wakiilinda ripori isichakachuliwe. Ktk hili nawapongeza.

3. Baadhi ya Wabunge wameanza kuondoka kwa kuhofia vitisho. Ila na wale "wanafiki" wasiopenda misimamo yao ijulikane wameanza kuondoka kwa kusingizia vitisho. So hawa wanarudi hotelini na kwenda kujifungia ili wawaangalie wenzao wakifanya maamuzi kupitia TV. What a shame??

4. Serikali imeandaa Mikakati wa kukata umeme baadhi ua maeneo (hasa mijini) ili watu wasiweze kufuatilia mjadala wa leo kupitia TV. Mkakati wa kukata umeme umekamilika kwa baadhi ya maeneo na hadi sasa kuna maeneo hawana umeme.!

#MORE_UPDATES_WILL_FOLLOW .!
 
Wanataka watufanyie mambo ya ajabu.. Hatukubali
 
Ilitahadharishwa mwanzo, watu wakatokwa povu kukanusha uwezekano huu wa Mahakama kutumika kuzima hoja hii. Sasa inaelekea kuwa ndio mpango mzima. Kweli tunadharauliwa sana.
 
  • Thanks
Reactions: yok
You judge a man, by the length of his hair
You think we are foolish but we aren't
You took our hopes, and replace them with faith yeah
With empty promises that makes you care
http://www.lyricsmania.com/heaven_will_rise_up_lyrics_duane_stephenson.html
 
Back
Top Bottom