Calamity
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 856
- 47
kuwa mstaarabu mkuu yaan unacopy thread yoteLeta vitu mkuu
kuwa mstaarabu mkuu yaan unacopy thread yoteLeta vitu mkuu
mkubwa na wanae.Hapa kuna mkono wa MTU MKUBWA sio bure!
Ndo mana wamerudisha umeme kumbe jioni.
yamotoooooooooooo!Mkubwa na Wanae
Mkubwa na Wanae
Kitaelewekaje wakati kuna Court Injuction?
Aisee, mfano wa karibuni ni Ndugu (sio rais tena) Blaisse Compaure aliyetaka kuendelea kutawala, alijaribu kubadilisha katiba kwa kutumia sheria zile zile zilizokuwepo lakini wananchi wakamuondoa madarakani bila kufuata sheria za nchi! Leo hii historia inasema kuwa walichofanya wananchi (kutofuata sheria) ndicho sahihi! Siasa hasa huku Africa zinaendeshwa kiharamia, fikiria na kutafakari .Hapa ni sheria na taratibu tu hakuna mabavu wala maguvu.
Haisomwi; wewe unadhani ndugu gei alifukuzwa kuongoza vikao bure hiyo ilipangwa na mtekelezaji ni huyo mawigi alikuwa anajidai tu kusema hakuna wa kuzui. Kiukweli hakuna wa kuzuia na kama shida ni ripoti ya CAG si waiache wajadili ripoti ya Zitto au hiyo nayo iko kwenye kesi? sarakasi tuuuuuuSo hapo itakuwaje wakuu
Je itasomwa na kujadiliwa ama?
Coz nimekaa natazama TV but sijajua what next regarding this sakata wazee