displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
4. Serikali imeandaa Mikakati wa kukata umeme baadhi ua maeneo (hasa mijini) ili watu wasiweze kufuatilia mjadala wa leo kupitia TV. Mkakati wa kukata umeme umekamilika kwa baadhi ya maeneo na hadi sasa kuna maeneo hawana umeme.!
#MORE_UPDATES_WILL_FOLLOW .![/QUOTE]
Hilo la kukata umeme limeanza tangu jana arusha hakuna giza la mchana....sijui kwingineko.
Pia nimeshangaa TBC asubuhi hawakuwa wakionyesha Bubge isipokuwa walikuwa na documentary zao za hukp China via CCTV , as if we do not have ours.
STARTV ndoo walikuwa waonyesha kabla ya IPTL kuchukua Umeme wao TANESCO waliotusmbazia.