Naomba wabunge wa upinzani mtambue kwamba CCM wanacheza na techniques,nanyi ni lazima mjue namna ya kuwachezesha!
Leo itakapofika jioni mtakuja kutangaziwa kuwa wamepokea order paper kutoka mahakama kuu na hivyo mjadala wa ripoti hautaruhusiwa,nanyi mtapiga mtaishia kupiga kelele kama asubuhi then wataahirisha bunge mpaka kesho.Kesho ikifika watakuja na movie part two na mwisho wa siku mjadala hautakuwepo na bunge litaahirishwa na huo upepo utapita.
USHAURI WANGU KWENU WABUNGE WA UKAWA:Andaeni karatasi na muingie nalo bungeni,wakileta mchezo mchafu kama wa asubuh muanze kukusanya sahihi za wabunge kwa ajili ya kumng'oa SPIKA na WAZIRI MKUU na sahihi zikitimia watu hao wawili kufikia kesho asubuh muwagomee na wajiuzulu mara moja.Hapo tutajua ni wabunge gani wa CCM ambao wako na wananchi na wanauchungu na hili suala tofauti na unafiki wa kelele wanazopiga.Tofauti na hivyo wapinzani nao mtaonekana watu wa ovyo msio na mikakati katika kupambana na uharamia wa serikali na CCM!
Ni hayo tu kwa sasa
Jolebatawi