Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

kwangu umeme washakata sahvi hawa mb....waa
ngja nikanunue petrol umeme usipowaka nawasha jenereta tu....
 
hawa ndo wale wa kubahatisha halafu, ikitokea kweli wanasema "si nilisema". hapa ndo tz kila mtu anataka kuonekana jasusi na yupo well connected.
 
Kweli hakuna wapole,watanzania wameamua,tunataka hawa wajinga wapigwe risasi
 
Report ya escrow haitajadiliwa leo saa kumi na moja jioni, PLAIN AND SIMPLE. Anayebisha ataniambia kuanzia saa kumi na moja na nusu.

Modes! kuna haja ya kuwadhibiti hawa akina Prof. Maji Marefu humu na utabiri wao wa kichawi
 
We want our money back!!Mtafungua nyuzi hata mia ila hamtuzugi,tumeshajaza mafuta jenereta la mwenyekiti,hatubanduki...na kama kuandamana tutaandamana tu!
 
Inawezekana isijadiliwe kwamaana ya kuruhusu maoni ya wabunge lakini naamini kamati itawasilisha ripoti na kuisoma then mjadala utafuata baada ya presentation hata kesho.
 
*UPDATE: Watu wa PAP na hati yao ya mahakama wapo getini Bungeni wakitaka kutoa hati kwa BUNGE. BUNGE limegoma kupokea! #TegetaEscrow
Hii safi sana!
Atakayepokea ile hiyo barua anatakiwa kishughulikwa.


*UPDATE: Bunge limekataa kupokea order ya mahakama. Ripoti ya PAC itasomwa jioni na si asubuhi tena #TegetaEscrow
Hii ni hatua ya hali ya juu kabisa kwa chombo cha Wananchi.

Mahakama hizi hizi zimekuwa chaka la Mafisadi na cha ajabu ni kuwa wanahara gani maana siku siku mgogoro husika utafika mbele ya Mahakama hiyo kwa hatua zaidi,kwanini inataka kuizuia Bunge isifanye Kazi yake.


Pendekezo langu kwa Wahesshimiwa Wabunge wasiumizwa vichwa hatua ni mmoja tu na rungu la kufanya hivyo mnalo,kuna watu wawili wakushulikiwa kama Ripoti haitaletwa Bungeni.

1.Spika wa Bunge
2.Waziri Mkuu




*UPDATE: Katika kikao cha jana usiku cha CCM; Muhongo alitoa maelezo kwamba pesa si za umma na kwamba taratibu zilifuatwa #TegetaEscrow

[/SIZE]


Uprof.wengine huu sijui ni wakubeba nyewe tu kichwani au elewa wangu!
Kama kweli taratibu zilifuatwa hofu na pilika pilika hii ya Serikali kukwaamisha Taarifa hii kujadiliwa Bunge ni ya nini?
 
Back
Top Bottom